-
Kuwa tayari Lebanon kwa ajili ya zoezi la uchaguzi wa Bunge
May 05, 2022 03:33Bassam Mawlawi, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Lebanon ametangaza kuwa, maandalizi ya lazima kwa ajili ya kuendesha zoezi la uchaguzi wa Bunge nchini humo katika muda uliopangwa yamekamilika.
-
Ansarullah yaonya juu ya uwezekano wa kuvunjika makubaliano ya kusitisha vita ya UN
May 05, 2022 02:11Msemaji wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameonya kuhusu uwezekano wa kuvunjika usitishaji vita uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa nchini Yemen baada ya jeshi la nchi hiyo kutangaza habari ya kuingia ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya muungano wa vita unaoongozwa Saudia katika anga ya Yemen.
-
Hamas yautahadharisha utawala haramu wa Israel: Usicheze na moto
May 04, 2022 21:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetahadharisha kuhusu vitendo vya kichochezi vya Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa na kusema vitendo hivyo ni sawa na kucheza na moto.
-
Balozi wa Palestina London aitaka Magharibi kukomesha unafiki
May 04, 2022 21:51Mwakilishi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina nchini Uingereza ameashiria kimya cha nchi za Magharibi mbele ya vitendo vya kikatili vinavyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa na kueleza kuwa, Palestina itakombolewa kutokana na uungaji mkono mkubwa wa watu huru duniani.
-
HAMAS: Operesheni ya Ari'el ni kuwazindua Wazayuni wasivuke mstari mwekundu
May 04, 2022 07:22Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Wapalestina na kwamba Wazayuni hawapaswi kuuvuuka.
-
Jeshi la Yemen latungua droni ya ujasusi yenye silaha ya Saudia
May 04, 2022 03:26Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limeitungua droni ya ujasusi yenye slaha ya Saudi Arabia katika anga ya mkoa wa Hajjah huko Yemen.
-
Syria yawaachia huru mamia ya wafungwa
May 03, 2022 22:40Wizara ya Sheria ya Syria imetangaza kuwa, serikali imewaachia huru mamia ya wafungwa waliokuwa wakituhumiwa kuwa na mfungamano na makundi ya kigaidi na kitakfiri na au kushiriki katika hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea
May 03, 2022 22:06Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.
-
Zaidi ya Wapalestina 50 wameshauliwa shahidi na Wazayuni tangu mwezi Januari 2022
May 03, 2022 22:06Kituo cha Takwimu cha Palestina kimetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, tangu mwezi Januari mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawaua shahidi Wapalestina zaidi ya 50.
-
Ripoti: Hali ya wafungwa katika magereza ya Saudi Arabia ni mbaya mno
May 03, 2022 03:27Ripoti mbalimbali zinaonyesha juu ya kuweko ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya wafungwa wa kisiasa katika magereza ya Saudi Arabia.