-
Ripoti: Muungano vamizi wa Saudi Arabia waendelea kukiuka usitishaji vita huko Yemen
May 03, 2022 03:25Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeendelea kukiuka usitishaji vita huko Yemen na kuthibitisha kwamba, madai yake ya kutaka kusimamaisha vita ni urongo mtupu.
-
Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba
May 03, 2022 00:14Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, njama za adui za kutaka kuibua machafuko na ukosefu wa usalama katika miji ya Iraq katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani zimesambaratishwa na kufeli.
-
Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli
May 02, 2022 06:11Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo haina ukweli wowote.
-
Dakta al-Zahar: Uvamizi wa Israel hauna dosari kwa azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao
May 02, 2022 05:36Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kuendelea mzingiro na uvamizi wa Wazayuni katu hakutatia dosari azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao.
-
Wasiwasi wa Shirika la Haki za Wahamiaji kuhusu hali ya wafanyakazi wa kigeni katika magereza ya Saudi Arabia
May 01, 2022 23:39Shirika la Haki za Wahamiaji limeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kusikitisha ya wafanyakazi wa kigeni wanaozuiliwa katika magereza ya Saudia.
-
Mamia ya Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
May 01, 2022 22:01Duru za habari zimeripoti kuwa, mamia ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Jitihada za siri na za wazi za Israel za kuharibu uhusiano wa Iran na nchi za Kiarabu na Ulaya
May 01, 2022 21:57Viashiria vilivyopo vinaonyesha kuwa, sambamba na juhudi kubwa zinazofanywa huko Marekani na Magharibi kwa ujumla za kuzuia kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; katika eneo la Mashariki ya Kati pia utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kuzuia kuimarika uhusiano wa Iran na Saudi Arabia, na vilevile kuharibu uhusiano wa Iran na Uturuki.
-
Milipuko yaripotiwa karibu na kambi ya askari vamizi wa Marekani huko Syria
May 01, 2022 04:52Milipuko kadhaa imeripotiwa karibu na kambi kubwa zaidi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Iran na Saudi Arabia zinakaribia kufikia mapatano, asema waziri mkuu wa Iraq
Apr 30, 2022 23:49Waziri Mkuu wa Iraq ameashiria duru ya tano ya mazungumzo na mashauriano ya kisiasa baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kusema mapatano baina ya nchi hizo mbili yanakaribia.
-
Abdul-Malik Al-Houthi: Wanaoanzisha uhusiano wa kawaida na Israel watajuta
Apr 30, 2022 07:20Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wanaokwenda mbio kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel watajuta kwa hatua yao hiyo.