-
Hadi al-Amiri: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatua isiyokubalika kwa namna yoyote ile
Apr 30, 2022 06:24Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.
-
Rais wa Venezuela: Baytul-Muqaddas ni njia ya umoja baina ya Wakristo na Waislamu
Apr 30, 2022 06:04Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameashiria maadhimisho ya jana ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kusema kuwa, Baytul-Muqaddas ni njia ya umoja baina ya Wakristo na Waislamu.
-
Sayyid Nasrullah: Tutajibu papo hapo shambulizi lolote la Israel
Apr 29, 2022 22:35Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema uchaguzi uliopangwa kufanyika nchini humo hautaizuia harakati hiyo kujibu shambulio lolote la Israeli, akisisitiza kuwa Hizbullah itajibu papo hapo shambulio lolote la utawala huo haramu.
-
Israel yashtakiwa kwenye mahakama ya kimataifa kwa kuwaua waandishi wa habarii huko Palestina
Apr 29, 2022 22:31Utawala haramu wa Israel umefunguliwa mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ikishutumiwa kufanya jinai na uhalifu wa kivita kwa kuwalenga waandishi wa habari wanaofanya kazi huko Palestina na kukataa kuchunguza mauaji ya wafanyakazi wa vyombo vya habari.
-
Utawala wa Israel washambulia Msikiti wa Al Aqsa katika Siku ya Quds
Apr 29, 2022 03:51Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) asubuhi ya leo Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds na matukio mapya ya kistratijia katika uwanja wa Palestina
Apr 28, 2022 22:09Kama dalili zinavyoonyesha, mwaka huu Wapalestina wataadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds kwa msisimko na shauku maalumu. Huenda ni msisimuko na shauku hiyo ndiyo inayapa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds sifa maalumu na ya kipekee.
-
Muqawama wa Palestina wazindua droni mpya sambamba na maadhimisho ya Siku ya Quds
Apr 28, 2022 22:08Msemaji wa tawi la kijeshi la harakati ya Jihad Islami ya Palestina amezindua droni mpya yaani ndege isiyo na rubani ya muqawama wa Palestina kwa jina la "Jenin."
-
Taarifa ya Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds
Apr 28, 2022 22:08Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu imetangaza kuwa njia ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni ni kuimarisha safu ya Jihadi na mapambano mataifa sambamba na nchi za Kiislamu kutangaza uungaji mkono wao wa pande zote kwa wananchi waliodhulumika wa Palestina.
-
Muqtada Sadr aitaka Saudi Arabia ichukue mkondo wa siasa za wastani
Apr 28, 2022 06:29Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya nchini Iraq ameitolea wito Saudi Arabia na kuitaka ichukue mkondo wa siasa za kati na kati.
-
Barabara za Ghaza zapambwa kusubiri Siku ya Kimataifa ya Quds
Apr 28, 2022 02:36Huku Ijumaa ya kesho ya tarehe 29 Aprili mwaka ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds yaani Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tayari mitaa ya Ukanda wa Ghaza imepambwa kwa picha mbalimbali za mashahidi wa kambi ya muqawama ya ukombozi wa Palestina.