-
Jihad al Islami yailaani Israel kwa kujaribu kumuua kigaidi kiongozi wake
Feb 27, 2022 22:52Harakati ya Jihadi al Islami ya Palestina imeulaani utawala wa Kizayuni kwa kujaribu kumuua kigaidi mmoja wa viongozi waandamizi wa harakati hiyo na kulitaja jaribio hilo kuwa ni jinai iliyo wazi.
-
Kuanza Intifadha ya mateka wa Kipalestina katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 27, 2022 09:25Harakati ya mateka wa Kipalestina katika magereza ya utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuanza Intifadha ya wafungwa wa Kipalestina na kutoa wito wa kuungwa mkono harakati hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Watu milioni 24 wanahitajia misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan
Feb 27, 2022 09:23Maafisa wa Umoja wa Mataifa wanasema kuwa, kiwango cha mahitaji ya misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan ni kikubwa na kwamba, hakijawahi kushuhudiwa.
-
Saudi Arabia na washirika wake watakiwa kuhitimisha jinai zao dhidi ya Yemen
Feb 27, 2022 09:23Maafisa wa kijeshi nchini Yemen wameashiria jinai za utawala vamizi wa Saudi Arabia na washirika wake huko Yemen na kusisitizia udharura wa kuhitimishwa uvamizii, jinai, mzingiro na kuondoka vikosi vyote vamizi katika ardhi ya Yemen.
-
Kuunga mkono waziwazi Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia Makubaliano ya Abraham
Feb 27, 2022 07:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Faisal bin Farhan amesema katika mahojiano na shirika la habari la Ujerumani kuwa, mapatano yaliyofikiwa kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Kiarabu ni hatua nzuri na imepelekea kupatikana suluhu na amani katika eneo.
-
Hamas: Zama za ubabe wa Marekani zimefika ukingoni
Feb 27, 2022 04:38Mkuu wa sera za kigeni katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina (Hamas) amesema moja kati ya mafunzo yanayopatikana katika vita vya Russia na Ukraine ni kuwa, zama za ubabe wa Marekani duniani zimefika ukingoni.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kusitishwa misaada ya chakula kwa wananchi wa Yemen
Feb 27, 2022 00:46Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha juu ya matokeo mabaya ya kusitishwa misaada ya chakula kwa wananchi wa Yemen.
-
Jeshi la Yemen laitungua droni ya pili ya Marekani katika mkoa wa Ma'rib
Feb 25, 2022 09:11Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi zimeitungua ndege ya pili isiyo na rubani iliyoundwa na Marekani.
-
Chama cha Fat'h: Marekani inashirikiana na Israel kuwakandamiza Wapalestina
Feb 25, 2022 03:25Katibu wa Kamati Kuu ya chama cha Fat'h cha Palestina amesema kuwa, eneo la Sheikh Jarrah na maeneo mengine ya Quds yanayokaliwa kwa mabavu, yanaendelea kushuhudia vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kwamba jinai hizo zinafanyika kwa uungaji mkono kamili wa Marekani.
-
Palestina yalitaka Baraza la Usalama la UN kukomesha ubaguzi wa rangi wa Israel
Feb 24, 2022 23:50Balozi wa Kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kukomesha vitendo vya kibaguzi vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.