-
Sayyid Hassan Nasrullah: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ulikuwa muujiza
Feb 24, 2022 04:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyopata ushindi mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini (MA) ulikuwa ni muujiza.
-
HAMAS: Kukamata kiholela Wapalestina hakuwezi kulifanya taifa la Palestina liache kupambana na Wazayuni
Feb 24, 2022 04:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza katika taarifa yake kwamba, operesheni ya kuwakamata kiholela Wapalestina katu haiwezi kulifanya taifa la Palestina liachane na mapambano yake dhidi ya Wazayuni maghasibu wanaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Taarifa mpya zafichuliwa kuhusu mtandao wa kijasusi wa Israel dhidi ya Hizbullah
Feb 23, 2022 23:34Gazeti la al Akhbar la Lebanon limefichua taarifa mpya kuhusu operesheni za moja ya mitandao ya ujasusi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini Lebanon dhidi ya harakati ya muqawama ya nchi hiyo ya Hizbullah.
-
Taliban: Tumeanza kutambuliwa kwa kufunguliwa baadhi ya balozi za kigeni Kabul
Feb 23, 2022 23:33Kiongozi mwandamizi wa Taliban amesema, kufunguliwa tena baadhi ya balozi za kigeni katika mji mkuu Kabul ni ishara ya kutambuliwa kundi hilo na jamii ya kimataifa.
-
Baada ya kulipa gharama za kuivamia kijeshi Kuwait, Iraq yaondolewa kwenye Sura ya 7 ya UN
Feb 23, 2022 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametangaza kuwa nchi hiyo imeondolewa kwenye orodha ya Sura ya 7 ya Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Gesi asilia; jibu kwa changamoto za ustawi endelevu katika karne ya 21
Feb 23, 2022 08:17Mkutano wa Sita wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (GECF) ulianza rasmi Jumanne wiki hii ukihudhuriwa na Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wakuu na wawakilishi wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Mkutano huo ilifunguliwa kwa hotuba ya Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani kwa kauli mbiu ya "Usalama wa Nishati Duniani".
-
Israel yashambulia kwa makombora mashariki mwa Qunaitra, kusini mwa Syria
Feb 23, 2022 03:42Duru za habari nchini Syria zimetangaza kuwa, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameshambulia kwa makombora maeneo ya karibu na mji wa Qunaitra nchini Syria.
-
Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban
Feb 22, 2022 11:14Baada ya kupita miezi sita tangu wanamgambo wa Taliban wachukue madaraka nchini Afghanistan, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, kuendelezwa mawasiliano na Taliban na kufanyika mazungumzo baina ya Waafghani ndio chaguo bora zaidi na ni kwa maslahi ya pande zote nchini humo pamoja na jamii ya kimataifa.
-
Hamas yajibu matamshi ya Benny Gantz: Wapalestina watachukua haki yao, hawasubiri kupewa
Feb 22, 2022 08:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), imejibu madai ya Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz ikisema kuwa haki za watu wa Palestina haziwezi kuchukuliwa kwa kuomba.
-
Sana'a: Umoja wa Mataifa unaingiza siasa katika masuala ya kibinadamu
Feb 22, 2022 08:24Kaimu wa Wizara ya Haki za Binadamu ya Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen amekosoa misimamo ya kindumakuwili ya Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, umoja huo unaingiza siasa katika kadhia ya kibinadamu na kuficha jinai na uhalifu unaofanywa na wavamizi.