-
Raisi: Ipo irada thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar
Feb 22, 2022 03:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Wairani wanaoshi Qatar kuwa ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar.
-
Hezbullah yasema imeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wake wa kivita
Feb 21, 2022 23:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema imeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wake wa kivita ambao umeushtua na kuudhalilisha utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Operesheni ya droni ya Hizbullah; kusambaratika mfumo wa ulinzi wa utawala wa Kizayuni
Feb 21, 2022 23:10Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Ijumaa iliyopita ilitoa taarifa na kutangaza kuwa ndege isiyo na rubani (droni) iliyopewa jina la Hassan imepaa katika anga ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa muda wa dakika 40 na katika umbali wa kilomita 70 na kisha ikarejea Lebanon baada ya kufanya kazi yake kwa mafanikio.
-
Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa Nabii Ibrahim (as)
Feb 21, 2022 04:09Duru za habari zimeripoti kuwa, kundi kubwa la askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limeuvamia na kuuvunjia heshima msikiti wa Nabii Ibrahim (as) katika mji wa al Khalil, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wasaudi wavamizi wapata pigo kubwa zaidi katika vita vya Yemen katika mji wa Hardh mkoani Hajjah
Feb 20, 2022 23:53Televisheni ya al-Mayadeen imetangaza kuwa, kipigo vilichopata vikosi vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na kuondoka kwao katika mji wa Hardh mkoani Hajjah nchini Yemen ni kushindwa kubaya zaidi kwa utawala wa Riyadh katika vita ilivyoanzisha dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Nabih Berri: Lebanon imepatwa na corona ya kisiasa
Feb 20, 2022 21:42Spika wa Bunge la Lebanon amesema kuwa Lebanon imekumbwa na corona ya kisiasa na imezingirwa na baadhi ya nchi za Kiarabu, lakini haijawahi kufilisika.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kupanuka zaidi ugaidi wa ISIS kutoka Afghanistan
Feb 20, 2022 21:40Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu tishio la ugaidi wa kundi la Daesh (ISIS) unaoenea kutoka Afghanistan. Antonio Guterres amesema magaidi ni hodari sana katika kutumia umbwe wa madaraka.
-
WFP: Asilimia 95 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha
Feb 20, 2022 09:57Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, asilimia 95 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha.
-
Hatua isiyo ya kibinadamu ya Saudia ya kubomoa Jeddah yawakasirisha wananchi
Feb 20, 2022 09:57Manispaa ya mji wa Jeddah nchini Saudia imeendelea kubomoa nyumba za raia katika mji huo licha ya malalamiko ya wananchi.
-
Wanamichezo wa Jordan wasusia mashindano yaliyowashirikisha Wazayuni
Feb 20, 2022 04:19Makundi yanayoliunga mkono taifa la Palestina huko Jordan yamepongeza hatua ya wanamichezo wa nchi hiyo na nyingine za Kiarabu ya kukataa kushiriki mashindano ya magari ya Baja Rally ya Jordan kutokana na waanndaaji wa mashindano hayo kuwashirikisha pia Waisraeli.