-
Wazayuni wawaponda kwa farasi Wapalestina, HAMAS yataka maandamano makubwa
Feb 19, 2022 23:23Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wameripoti kuwa, wanajeshi makatili wa Israel wamewakanyaga kwa farasi Wapalestina waliokuwa wanalalamikia jinai za utawala wa Kizayuni mashariki mwa Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni utawala wa Kizayuni.
-
Kukataa utawala wa Kizayuni kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la UN
Feb 19, 2022 23:22Utawala wa Kizayuni umekataa kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Mwakilishi wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Tel Aviv haitashirikiana na jopokazi la uchunguzi la baraza hilo kwa ajili ya kuchunguza mashambulizi ya mwezi Mei mwaka jana ya utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Ghaza.
-
Palestina yalaani 'jeuri' ya Israel ya kukataa kutoa ushirikiano kwa kamati ya UN
Feb 19, 2022 08:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani hatua ya kijeuri ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ya kukataa kutoa ushirikiano kwa kamati ya Umoja wa Mataifa inayochunguza jinai za utawala huo dhalimu katika vita vya siku 12 dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Duru za Saudia: Wanawafalme hawana haki ya kusafiri nje ya nchi bila idhini ya Bin Salman
Feb 19, 2022 08:10Duru za kuaminika nchini Saudi Arabia zimetangaza kuwa, wanawafalme wa nchi hiyo hawana ruhusa ya kusafiri kuelekea nje ya nchi isipokuwa kama wataweza kupata kwa tabu idhini ya kufanya hivyo kwa mrithi wa ufalme Mohammad bin Salman.
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen
Feb 19, 2022 04:13Waislamu nchini Nigeria wakiitikia wito wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kutenda jinai na mauaji ya kimbari nchini Yemen.
-
Makundi ya muqawama yailaani Australia kwa kuiita HAMAS kundi la kigaidi
Feb 18, 2022 23:26Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Hizbullah: Ndege yetu ya upelelezi imeingia na kutoka salama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa na Wazayuni
Feb 18, 2022 23:26Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake moja isiyo na rubani aina ya "Hassan" imeingia hadi ndani ya anga ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel kwa ajili ya kufanya upelelezi.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Maadui wanatumia silaha ya vikwazo kuzusha mifarakano katika vita dhidi ya Yemen
Feb 18, 2022 04:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, vita dhidi ya Yemen vinaendeshwa na adui katika medani kadhaa na kuwa miongoni mwa silaha zinazotumiwa na adui dhidi ya Yemen ni vikwazo, masuala ya kiuchumi, na kuzusha mifarakano baina ya wananchi wa Yemen.
-
Israel yazuia Umoja wa Mataifa kuchunguza jinai zake za kivita Gaza
Feb 18, 2022 03:14Utawala wa Kizayuni wa Israel umekataa kushirikiana na timu ya Umoja wa Mataifa ambayo inachunguza jinai ilizozitenda katika vita vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza mwaka jana.
-
Saudia yarefusha kifungo cha mwanachuoni mashuhuri wa upinzani nchini humo
Feb 17, 2022 23:36Mamlaka za Saudi Arabia zimerefusha kifungo cha msomi mashuhuri na mpinzani mkuu wa utawala wa Aal-Saud kwa miaka 8 zaidi, huku ufalme huo ukishadidisha ukandamizaji wa jamii za waliowachache nchini humo.