-
Jibu la HAMAS kwa Australia: Israel ndio inayopaswa kutangazwa kuwa ni utawala wa kigaidi
Feb 17, 2022 09:53Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali hatua ya serikali ya Australia ya kuitambua harakati hiyo ya muqawama inayopigania ukombozi wa Palestina kuwa ni kundi na kigaidi.
-
Arab League: Amani ya Asia Magharibi itapatikana tu kwa kuhitimishwa ukaliaji mabavu Palestina
Feb 17, 2022 09:52Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesisitiza amani, amani na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi utapatikana tu kwa kuhimishwa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina kunakofanywa na utawala vamizi wa Israel.
-
Nasrullah: Hizbullah ina uwezo wa kuunda ndege zisizo na rubani
Feb 16, 2022 23:48Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema harakati hiyo sasa inajiundia ndege zisizo na rubani au drone na makombora yenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa.
-
Bendera za Israel zateketezwa kwa moto Bahrain kulaani safari ya Bennett
Feb 16, 2022 23:07Waandamanaji wenye hasira nchini Bahrain wameteketeza kwa moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani safari ya siku mbili ya Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Naftali Bennet katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki ijayo kuelekea Qatar
Feb 16, 2022 08:37Balozi wa Iran mjini Doha, Qatar ametoa maelezo kuhusu ziara tarajiwa ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini humo.
-
Al Wifaq: Safari ya Bennet mjini Manama ni hiyana ya utawala wa Aal Khalifa kwa wananchi wa Bahrain
Feb 16, 2022 08:23Jumuiya ya kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imeitaja safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni huko Manama mji mkuu wa Bahrain kuwa ni hiyana ya utawala wa Aal Khalifa kwa watu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, safari hiyo inakiuka maadili na ni kitendo chenye lengo la kuyachochea mataifa ya Kiarabu na Kiislamu.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Israel Bahrain katika siku ya kumbukumbu ya mwamko wa Februari 14
Feb 16, 2022 07:34Naftali Bennett Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel hivi karibuni amefanya safari huko Bahrain kwa mwaliko rasmi wa Mfalme Hamad bin Isa wa nchi hiyo, ikiwa ni katika kumbukumbu ya mwaka wa 11 wa mwamko wa watu wa nchi hiyo dhidi ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa.
-
Wavamizi wa Yemen waendelea kushambulia mji mkuu Sana'a na miji mingine
Feb 16, 2022 03:41Ndege za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia na Imarati zinaendelea kufanya jinai dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa nchi ya Kiarabu ya Yemen.
-
Syria: Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah ni uhalifu wa kivita
Feb 15, 2022 09:41Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetoa wito wa kukomeshwa hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuharibu nyumba za Wapalestina na kuwafukuza katika ardhi na makazi yao.
-
Jenerali Saree: Mashambulio ya anga ya Saudi dhidi ya watu wa kawaida wa Yemen yatajibiwa
Feb 15, 2022 09:40Msemaji wa Jeshi la Yemen amekanusha vikali madai kwamba Jeshi la Yemen na washirika wake wanatumia majengo na vituo vya raia kwa malengo ya kijeshi, akisisitiza kwamba madai hayo yanatolewa ili kuhalalisha uhalifu unaofanywa na muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia.