-
Abdulmalik al Houthi: Kuungana na Marekani na Israel ni tishio hatari zaidi kwa Umma wa Kiislamu
Feb 15, 2022 04:26Abdulmalik Badruddin al Houthi Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuwa tishio hatari zaidi kwa Umma wa Kiislamu ni kuungana na maadui halisi wa Umma yaani Marekani na Israel.
-
Juhudi za Marekani za kuendelea kuisaidia UAE katika vita dhidi ya watu wa Yemeni
Feb 14, 2022 22:50Ndege kadhaa za kivita za Marekani ain ya F-22 siku ya Jumamosi ziliwasili katika Kituo cha Ndege za Kivita cha Al-Dhafra katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa Jeshi la Anga la Marekani, kutumwa kwa ndege hizo za kivita kunafuatia mapatano baina ya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin, na Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, Mohammed bin Zayed Al Nahyan.
-
Mwaka wa 11 wa mwamko wa wananchi; mpasuko kati ya ukoo wa Al Khalifa na watu wa Bahrain waongezeka
Feb 14, 2022 09:01Februari 14, 2022 inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 11 ya mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa.
-
Wazayuni waripua kwa mabomu nyumba ya Mpalestina mjini Jenin + Video
Feb 14, 2022 07:25Mapema leo Jumatatu asubuhi, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wamevamia nyumba moja ya raia wa Kipalestina katika mji wa Jenin wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuua shahidi kijana mmoja wa Kipalestina na kujeruhi wengine 10. Wanajeshi hao makatili wameripua kwa mabomu pia nyumba ya raia mmoja wa Kipalestina.
-
Jinai za Saudia nchini Yemen ni sawa na jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Feb 14, 2022 07:22Katibu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, jinai zinazofanywa na ukoo wa Aal Saud nchini Yemen zinafanana kikamilifu na jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Njama mpya za Wazayuni za kuugawanya kimatumizi msikiti mtakatifu wa Al-Aqswa
Feb 14, 2022 04:15Khatibu wa Masjidul Aqswa amesema kuwa, katika njama zake mpya dhidi ya Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa utawala wa Kizayuni wa Israel umekusudia kuugawanya msikiti wa Al-Aqswa kwa sura ya mahali na wakati na hatimaye kupanyakua mahali hapo patakatifu kutoka mikononi mwa Waislamu.
-
Sheikh Qassim: Waislamu wakabaliane na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano na Israel
Feb 14, 2022 04:14Kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain ametoa wito wa kusimama kidete Waislamu katika kukabiliana na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Televisheni ya Israel: Bin Salman yumo mbioni kuanzisha uhusiano wa kawaida wa wazi na Israel
Feb 14, 2022 04:13Kanali ya 12 ya televisheni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia anafuatilia suala la kuunganisha Uyahudi katika utamaduni wa asili wa nchi yake na anataka Saudia na Israel ziwe na uhusiano wa kawaida na wa wazi.
-
Guterres alitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwaunga mkono wananchi wa Afghanistan
Feb 14, 2022 04:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kuwaunga mkono wananchi wa Afghanistan ambao wanataabika kutokana na hali mbaya ya uhaba mkubwa wa chakula.
-
Muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia washambulia tena mji mkuu wa Yemen
Feb 14, 2022 00:19Ndege za kijeshi za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kwa mara nyingine tena zimeshambulia mji mkuu wa Yemen Sana'a.