-
Aboul Gheit: Maambukizi ya corona yamezidisha umaskini katika Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 13, 2022 23:50Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema janga la corona limezidisha pakubwa umaskini na ukosefu wa ajira miongoni mwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
-
HAMAS yaionya Israel iache kucheza na moto
Feb 13, 2022 09:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo kali kwa utawala haramu wa Israel baada ya walowezi wake wa Kizayuni kuwashambulia tena Wapalestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Maandamano na kamatakamata zashtadi Bahrain katika maadhimisho ya vuguvugu la Mapinduzi
Feb 13, 2022 00:45Vyombo vya habari nchini Bahrain vimeripoti kuwa, sambamba na kuwadia mwaka wa 11 wa vuguvugu la mapinduzi ya Februari 14 ya wananchi wa Bahrain, yamefanyika maandamano katika maeneo mbalimbali, huku askari usalama wa utawala wa Aal Khalifa wakishadidisha kampeni ya kuwatia nguvuni wanaharakati wa nchi hiyo.
-
Lebanon yataka UN iishinikize Israel iache kukiuka anga yake
Feb 12, 2022 07:11Jeshi la Lebanon limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka kusitisha ukiukwaji wa anga yake unaotekelezwa mara kwa mara na utawala wa Kizayuni wa Israel wakati unaposhambulia nchi jirani ya Syria.
-
HRW: Kila saa moja Myemen mmoja anauawa au anajeruhiwa
Feb 12, 2022 03:21Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti mpya na kusema kuwa, katika mwezi ulioisha wa Januari, kwa kila saa moja kwa uchache Myemen mmoja alikuwa anauawa au anajeruhiwa. Hao ni raia wa kawaida wa Yemen ambao hawahusiki kivyovyote na masuala ya kijeshi.
-
Wanajeshi wa Israel wajeruhi Wapalestima 165 kwa siku moja mjini Nablos
Feb 12, 2022 03:21Shirika la Hilal Nyekundu la Palestina limeripoti kuwa, Wapalestina wasiopungua 165 wamejeruiwa na wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini Nablos, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan jana Ijumaa pekee.
-
Hatua ya "PLO" ya kusimamisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Israel
Feb 11, 2022 23:02Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetangaza kusimamisha kuutambua rasmi utawala wa Kizayuni wa Israel na ushirikiano wa kiusalama na utawala huo. Baraza Kuu la PLO pia limetangaza kuwa, limesimamisha uratibu wowote wa kiusalama na utawala wa Kizayuni kwa njia mbalimbali.
-
Jihadul Islami: Mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Israel yataendelea kote Palestina
Feb 11, 2022 03:58Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Jihadul Islami amesisitiza kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel yataendelea katika maeneo yote ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Tutalipa kisasi cha kuuawa shahidi vijana 3 wa Kipalestina
Feb 10, 2022 23:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mrengo wa muqawama utalipiza kisasi cha damu za vijana watatu wa Kipalestina waliouawa shahidi hivi karibuni na jeshi katili la utawala haramu wa Israel.
-
Radiamali kwa hatua ya wanajeshi wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana 3 wa Nablus
Feb 10, 2022 23:00Katika hali ambayo wakazi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wameamua kufanya mgomo kama jibu lao kwa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana watatu wa Kipalestina, maafisa wa utawala huo wametamka wazi kuwa Israel iko huru kufanya oparesheni yoyote ya mauaji.