-
Hamas yapongeza ripoti ya Amnesty International inayoitaja Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi"
Feb 01, 2022 23:04Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza ripoti ya Amnesty International iliyochapishwa jana Jumanne ambayo imeitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa apartheid.
-
Amnesty: Israel inatekeleza jinai ya ‘apartheid’ dhidi ya Wapalestina
Feb 01, 2022 10:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kubebeshwa dhima utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa hatua yake ya kutumia mfumo wa kibaguzi wa apartheid dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Kadhaa wauawa baada ya kituo cha kuongozea vita cha UAE ndani ya Yemen kushambuliwa kwa kombora
Feb 01, 2022 04:48Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametangaza kuwa, vikosi hivyo vimeshambulia kwa kombora kituo kikuu cha kuongozea vita cha Imarati na mamluki wake katika mkoa wa Shabwa.
-
Rais wa Syria asifu na kupongeza sera na misimamo ya Oman kuhusiana na nchi yake
Feb 01, 2022 04:14Rais Bashar al Assad wa Syria ameipongeza Oman kutokana na nafasi yake kuu na yenye mlingano kuhusiana na nchi yake.
-
HAMAS: Hatuwezi kukubali kuwa na utulivu wa kiuchumi na Wazayuni wakati bado wamezikalia kwa mabavu ardhi zetu
Jan 31, 2022 23:33Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo haiwezi kukubali kuwa na usalama wa kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel maadamu utawala huo pandikizi unaendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Malengo ya safari ya Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Imarati
Jan 31, 2022 05:44Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, jana Jumapili tarehe 30 Januari aliwasili mjini Abu Dhabi katika safari ya kwanza rasmi ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati.
-
Syria yatungua makombora ya Israel yaliyokuwa yanalenga Damascus
Jan 31, 2022 04:29Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua makombora kadhaa ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.
-
Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa: Bila shaka mji wa Quds utakombolewa
Jan 31, 2022 04:25Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa amesisitiza kuwa, mji wa Quds (Jerusalem) bila shaka utakombolewa kutoka makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel huku akiwataka Wapalestina daima wawe tayari kwa mapambano.
-
Milipuko yasikika UAE kukiwa na ripoti za oparesheni ya Wayemen kulipiza kisasi
Jan 31, 2022 04:21Milipuko kadhaa mikubwa imesikika katika anga ya Umoja wa Falme za Kiarabu punde tu baada ya majeshi ya Yemen kutangaza oparesheni kubwa ya ulipizaji kisasi dhidi ya vituo muhimu vya kiuchumi vya nchi hiyo.
-
Mitazamo tofauti kuhusu sababu za kuondoka wanajeshi wa Imarati huko Ma'arib na Shabwah nchini Yemen
Jan 30, 2022 10:33Viongozi wa Abu Dhabi wametangaza kuwa wameondoa wanajeshi wao katika mikoa ya Shabwah na Ma'rib nchini Yemen, baada ya mashambulio ya kulipiza kisasi na maonyo makali yaliyotolewa na wanamapambano wa Yemen kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).