-
Milipuko yasikika UAE kukiwa na ripoti za oparesheni ya Wayemen kulipiza kisasi
Jan 31, 2022 04:21Milipuko kadhaa mikubwa imesikika katika anga ya Umoja wa Falme za Kiarabu punde tu baada ya majeshi ya Yemen kutangaza oparesheni kubwa ya ulipizaji kisasi dhidi ya vituo muhimu vya kiuchumi vya nchi hiyo.
-
Mitazamo tofauti kuhusu sababu za kuondoka wanajeshi wa Imarati huko Ma'arib na Shabwah nchini Yemen
Jan 30, 2022 10:33Viongozi wa Abu Dhabi wametangaza kuwa wameondoa wanajeshi wao katika mikoa ya Shabwah na Ma'rib nchini Yemen, baada ya mashambulio ya kulipiza kisasi na maonyo makali yaliyotolewa na wanamapambano wa Yemen kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
HAMAS: Kumkaribisha adui mzayuni katika miji mikuu ya Kiarabu na Kiislamu ni zawadi kwa jinai anazofanya
Jan 30, 2022 09:41Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, safari ya rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini Imarati ni chachu ya kuuhamasisha utawala huo utende jinai zaidi dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Mkuu wa majeshi ya Israel akiri: Hatuna uwezo wa kupigana vita vya nchi kavu Gaza
Jan 30, 2022 08:27Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo hauna uwezo wa kupigana vita vya nchi kavu na muqawama wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Yemen latungua droni ya US, laua makumi ya mamluki wa Imarati
Jan 30, 2022 04:14Makumi ya mamluki wa Imarati wameangamizwa na jeshi la Yemen linaloshirikiana na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah katika mkoa wa Shabwah, mashariki mwa Yemen.
-
Waziri wa Haki za Binadamu: Kinachojiri hii leo nchini Yemen ni jinai za kivita
Jan 29, 2022 23:15Kaimu Waziri wa Haki za Binadamu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiiza kuwa, kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa jina za utawala wa Saudi Arabia, Imarati na Marekani dhidi ya Yemen ni kuwa pamoja na watenda jinai.
-
Waziri Mkuu wa Israel: Sitaruhusu kuundwa nchi huru ya Palestina
Jan 29, 2022 23:14Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa, madhali angali madarakani katu hataruhusu nchi huru ya Palestina iundwe au hata kufanyika mazungumzo ya kisiasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Beirut haitakabidhi silaha za Hizbullah
Jan 29, 2022 08:07Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Lebanon amesema kuwa nchi hiyo haitakabidhi silaha za Hizbullah. Abdallah Bou Habib ameyasema hayo kabla ya mkutano na mawaziri wenzake wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi huko Kuwait unaolenga kuboresha uhusiano.
-
Hamas yamshukuru mcheza tenisi Mkuwaiti aliyekataa kucheza na Mzayuni
Jan 29, 2022 06:53Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imempongeza mcheza tenisi wa Kuwait aliyekataa kucheza na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jeshi la Syria lawazuia askari wa jeshi la kigaidi la Marekani kuingia katika mji wa Hasaka
Jan 29, 2022 04:43Jeshi la Syria limewazuia askari wa jeshi la kigaidi la Marekani kuingia katika mji wa Hasaka kaskazini mashariki ya nchi hiyo.