-
Wapalestina 25,000 wamesali Sala ya Ijumaa Msikiti wa Al Aqsa katika hali ya baridi kali
Jan 28, 2022 23:30Wapalestina wasiopungua 25,000 wamestahamili baridi kali na kushiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulioko katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia
Jan 28, 2022 07:01Mwakilishi wa Syria katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezitaja silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Mamluki zaidi ya 90 wa Imarati wauawa kusini mwa Yemen
Jan 28, 2022 03:48Duru za Yemen zinaarifu kuwa mamluki zaidi ya 90 wa Imarati wameuawa wakati wa kukabiliana na hujuma ya mamluki hao katika mkoa wa Shibwah.
-
Kuongezeka kwa harakati za pembetatu za Saudia, UAE na utawala wa Kizayuni dhidi ya Yemen
Jan 28, 2022 01:55Shambulizi lililofanywa hivi majuzi la makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi la Yemen na harakati ya Ansarullah dhidi ya Imarati limeonyesha kuwa harakati za pembetatu ya Saudi Arabia, Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Yemen zimeongezeka.
-
Amnesty International: Jinai ya Saudia kwenye jela ya Saada imefanyika kwa silaha za Marekani
Jan 27, 2022 23:33Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesisitiza kuwa, mauaji ya jela ya Saada nchini Yemen yalitekelezwa kwa silaha za Marekani kufuatia mashambulizi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia.
-
Wazayuni waendeleza uvamizi dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Jan 27, 2022 07:29Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza uhasama wao na kwa mara nyingine wameuvamia Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Kombora la Yemen laua makumi ya mamluki wa Saudia
Jan 27, 2022 04:16Makumi ya mamluki wa muungano vamizi wa kijeshi unaongozwa na Saudi Arabia wameangamizwa baada ya vikosi vya jeshi la Yemen kuwavurumishia kombora la balestiki lililopiga kambi ya mamkuli hao katika mkoa wa Ma'rib, katikati mwa Yemen.
-
Israel yatiwa hofu na onyo la Yemen la kushambulia Expo Dubai sambamba na safari ya Herzog UAE
Jan 26, 2022 23:06Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na wasiwasi mkubwa kutokana na onyo lililotolewa na vikosi vya ulinzi vya Yemen la kushambulia maonyesho ya Expo Dubai, sambamba na kukaribia safari ya rais wa utawala huo nchini Imarati.
-
Rais wa utawala haramu wa Israel kuitembelea Imarati
Jan 26, 2022 08:45Rais wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.
-
EuroMed Rights: Zaidi ya nusu ya watu wa Gaza ni maskini
Jan 26, 2022 00:42Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema, zaidi ya nusu ya watu wa Ukanda wa Gaza wanasumbuliwa na umaskini uliokithiri kutokana na mzingiro wa kiuchumi wa miaka 16 uliowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.