-
Kupoteza hadhi Jumuiya ya Nchi za Kiarabu baada ya kukengeuka njia na malengo ya kuasisiwa kwake
Jan 26, 2022 00:42Utambulisho na jukumu la uwepo wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ni kuunga mkono mataifa ya Kiarabu na kutatua matatizo na migogoro inayozikabili nchi hizo.
-
Mufti wa Lebanon: Moto wa vita vya Yemen utachoma miji mikuu ya nchi za Kiarabu
Jan 24, 2022 22:59Mufti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Lebanon amesema kuwa, iwapo moto wa vita vya Yemen hautazimwa, utachoma pia miji mikuu ya nchi za Kiarabu.
-
Makombora ya Ansarullah yaitia kiwewe Marekani, Washington yawatahadharisha Wamarekani waishio Abu Dhabi
Jan 24, 2022 07:17Ubalozi wa Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetoa onyo la usalama la hali ya juu kwa Wamarekani wanaoishi huko Imarati kufuatia mashambulizi ya makombora ya jeshi la Yemen na wapiganaji wa Ansarullah huko Abu Dhabi.
-
Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq
Jan 24, 2022 04:47Duru za habari zimearifu kuwa sauti ya mlipuko imesikika mapema leo magharibi mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Jeshi la Yemen limeshambulia maeneo ya ndani zaidi huko Saudia na Imarati
Jan 24, 2022 04:34Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, jeshi la Yemen na makundi ya kujitolea ya wananchi yameteleleza mashambulizi ndani zaidi katika ardhi ya Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Vimesema, jeshi la Yemen litatoa taarifa maalumu masaa machache yajayo.
-
Jinai za Saudia nchini Yemen, malengo, radiamali na matokeo yake
Jan 23, 2022 23:08Utawala wa kiimla wa Saudi Arabia unaendelea na jinai zake katika nchi ya Waislamu ya Yemen ambapo katika matukio ya hivi karibuni, madola vamizi yakiongozwa na Saudia yameua kwa umati raia wasiopungua 77 wasio na hatia wa Yemen na kujeruhi wengine wapatao 230.
-
UNICEF: Kwa akali watoto 17 wameuawa nchini Yemen tangu kuanza mwezi huu wa Januari
Jan 23, 2022 08:50Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, kwa akali watoto 17 wameuawa nchini Yemen tangu kuanza mwezi huu wa Januari kufuatia mashambulio ya anga ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Askari wa Marekani walijificha Abu Dhabi baada ya shambulio la jeshi la Yemen dhidi ya Imarati
Jan 23, 2022 04:27Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la kigaidi la Marekani CENTCOM amekiri kuwa, askari wa jeshi hilo walikimbilia mafichoni kwa kuhofia uwezekano wa jeshi la Yemen kuishambulia tena Imarati, kufuatia shambulio la makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi hilo katika mji wa Abu Dhabi.
-
Walowezi wa Kizayuni wakata mizeituni 400 ya Wapalestina
Jan 22, 2022 23:24Walowezi wa Kizayuni watenda jinai wameng'oa mizeituni 400 ya Wapalestina katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibu wa Mto Jordan.
-
Mchezaji wa tenisi kutoka Kuwait akataa kucheza na Muisraeli
Jan 22, 2022 23:14Mchezaji maarufu wa mchezo wa tenisi kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakiwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.