-
Corbyn: Uingereza inahusika na jinai za Saudi Arabia nchini Yemen
Jan 22, 2022 10:38Jeremy Corbyn, Mbunge maarufu nchini Uingereza ameilaumu serikali ya nchi hiyo na kusema kuwa, London ni mshirika wa jinai zinazofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wasio na ulinzi wala hatia huko Yemen.
-
Kutiwa nguvuni maafisa wa ngazi za juu wa upelelezi Iraq kwa kufanya ujasusi kwa maslahi ya Mossad
Jan 22, 2022 08:25Baadhi ya duru za Iraq zimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya nchi hiyo juzi Alhamisi iliagiza kutiwa mbaroni maafisa wanne wa ngazi ya juu wa Idara ya Intelijinsia ya nchi hiyo kwa uhalifu wa kuasisi mtandao wa kijasusi kwa maslahi ya Shirika la Ujasusi la Israel na Kitengo cha Oparesheni Maalumu cha Mossad.
-
Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq
Jan 22, 2022 05:17Rais wa Iraq almesisitiza kuwa shambulio la kigaidi katika mkoa wa Diyala ni kitendo cha chuki kinacholenga usalama wa Iraq.
-
Brigedia Yahya Saree: Makampuni ya kigeni yanashauriwa kuondoka Imarati
Jan 22, 2022 04:34Msemaji wa Jeshi la Yemen ameyashauri makampuni ya kigeni ya uwekezaji kuondoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Ansarullah ya Yemen: Tutatoa majibu makali dhidi ya wavamizi
Jan 21, 2022 23:08Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansrullah ya Yemen amesisitiza kuwa, harakati hiyo na wananchi shupavu wa nchi hiyo watatoa majibu makali na kwa nguvu zote dhidi ya madola vamizi yanayoongozwa na utawala wa wa Saudi Arabia.
-
Palestina yautaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kukomesha jinai za Israel
Jan 21, 2022 23:06Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeutaka Umoja wa Mataifa kushirikiana na baraza lake la usalama kukomesha jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Shambulio la anga la Saudia laua na kujeruhi watu 180 katika mji wa Hudaydah, Yemen
Jan 21, 2022 10:00Vyombo vya habari vya Yemen vimetangaza kuwa ndege za kivita za muungano vamizi wa Saudi Arabia vimeshambulia nyumba za watu katika mji wa Magharibi wa Hudaydah na jengo moja la mahabusu kaskazini ya mji wa Sa'ada.
-
Imarati; kujitanua kwenye madhara makubwa
Jan 21, 2022 06:27Umoja wa Falme za Kiarabu au kwa jina jingeni Imarati inatekeleza siasa za kujitanua katika eneo la Asia Magharibi, siasa ambazo huenda zikawa na madhara makubwa kwa nchi hiyo.
-
San'a: Njama za Marekani nchini Yemen hazina mustakbali wowote
Jan 21, 2022 04:30Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, njama za Marekani hazina mustakbali wowote nchini humo na huo ndio ujumbe uliomo kwenye operesheni za jeshi la Yemen na kamati za kujitolea na za ukombozi za wananchi wa nchi hiyo.
-
Maafisa usalama wanne wa Iraq watiwa mbaroni kwa kuifanyia ujasusi Israel
Jan 21, 2022 04:29Duru za habari zimetangaza kuwa, maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa usalama wa ndani wa Iraq wametiwa mbaroni kwa kosa la kuufanyia ujasusi utawala wa Kizayuni wa Israel.