-
Malalamiko ya Palestina kwa kimya cha ulimwengu kuhusu sera za apartheid za Israel
Jan 17, 2022 22:16Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetoa taarifa ikilalamikia kimya cha taasisi za kimataifa duniani mkabala wa uvamizi na chokochoko za utawala ghasibu wa Israel hususan ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala huo na kusema kuwa, Tel Aviv inataka kuimarisha ubaguzi wa Apartheid dhidi ya Wapalestina.
-
Watu 9 wauawa na kujeruhiwa nchini Imarati baada ya mashambulizi ya Wayemen
Jan 17, 2022 13:35Ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen yameshambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Iran yasisitiza ulazima wa kuondolewa mzingiro wa kidhalimu wa Yemen
Jan 17, 2022 05:47Ali Asghar Khaji, Mshauri Mwandamizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Hans Grundberg, Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili matukio ya hivi karibuni nchini Yemen.
-
UN: Mamillioni ya Wayemen wanakabiliwa na baa la njaa
Jan 17, 2022 04:24Umoja wa Mataifa unasema mamilioni ya watu wa Yemen wanakabiliwa na njaa huku misaada ya chakula ikipungua.
-
Jihad Islami: Israel imesambaza kwa makusudi virusi vya corona baina ya mateka wa kike wa Kipalestina
Jan 16, 2022 23:09Mjumbe mwandamizi wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umesambaza kwa makusudi virusi vya corona katika jela ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa na utawala huo.
-
Baa la njaa nchini Afghanistan
Jan 16, 2022 09:02Zaidi ya watu milioni 22 nchini Afghanistan wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.
-
Amir-Abdollahian: Mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa bila kuzingatia wakimbizi, vikwazo
Jan 16, 2022 08:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kama suala la wakimbizi na vikwazo dhidi ya Syria halitazingatiwa, haitawezekana kusimamia utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia inayofaa."
-
Palestina yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu njama za Israel dhidi ya Quds
Jan 16, 2022 08:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu njama za utawala haramu wa Israel za kuuyahudisha mji wa Quds (Jerusalem) na ujenzi wa vitongoji haramu katika ardhi za Palestina.
-
Palestina yatuma barua Umoja wa Mataifa kulalamikia jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 15, 2022 23:15Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amewatumia barua viongozi na maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa akikosoa na kulalamikia kuongezeka jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina.
-
Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon
Jan 15, 2022 23:14Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon.