-
Israel yakiri "Ngao ya Chuma" haiwezi kuilinda na vipigo vya makombora ya Wapalestina
Sep 28, 2021 23:01Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa Marekani wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina.
-
Ombi la Taliban kwa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kuasisi serikali jumuishi
Sep 27, 2021 22:57Kaimu wa Wizara ya Uchumi ya utawala wa Taliban ameiomba jamii ya kimataifa ilipe kundi hilo muda wa miezi 20 kwa ajili ya kurekebisha muundo wa utawala nchini Afghanistan.
-
HAMAS yaishukuru tena Iraq kwa misimamo yake ya kupinga kuanzishwa mapatano na Israel
Sep 27, 2021 22:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena imeishukuru serikali, makundi ya kisiasa, wazee wa koo na viongozi wa makabila ya Iraq, kwa msimamo wao wa kupinga kuanzishwa mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Utawala wa Aal Khalifa umewatesa na kuwasotesha jela mamia ya watoto Bahrain
Sep 27, 2021 22:56Vyombo vya habari vimefichua kuwa utawala wa Aal Khalifa umetesa mamia ya watoto nchini Bahrain ili kuwalazimisha wakiri makosa katika jela za utawala huo wa kiimla.
-
Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kuangamiza uwezo wa kinyuklia wa Iran
Sep 27, 2021 22:55Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo haramu hauna uwezo wa kuiua teknolojia ya nyuklia ya Iran.
-
Takwimu za awali: Zaidi ya watu milioni 14 wameshiriki Arubaini ya Imam Husain AS mwaka huu
Sep 27, 2021 04:04Wakuu wa mkoa wa Karbala nchini Iraq wamesema kuwa, takwimu za awali zinaonesha kwamba wafanya ziara ya Arubaini ya Imam Husain AS mwaka huu katika Haram ya mtukufu huyo ni zaidi ya watu milioni 14.
-
Syria: Tunakaribisha ushirikiano wowote baina ya Iran na nchi za Kiarabu
Sep 27, 2021 04:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amezungumzia msimamo wa nchi yake wa kukaribisha ushirikiano wa aina yoyote baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Kiarabu na kusisitiza kuwa, Damascus haitishwi kivyovyote na majigambo ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jihadul Islami yatoa onyo kali baada ya Israel kuwaua Wapalestina watano
Sep 27, 2021 04:01Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya utawala huo katili kuwaua shahidi wanamapambano watano wa Palestina.
-
Jeshi la Israel lapatwa kiwewe likihofia kisasi cha wanamapambano wa Palestina
Sep 27, 2021 01:03Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka katika hali ya tahadhari likihofiia kisasi kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina na kuvurumishwa makombora kuelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Migongano katika maneno ya Mahmoud Abbas chini ya kivuli vya uvamizi wa utawala wa Kizayuni
Sep 26, 2021 08:00Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina juzi Ijumaa alisema katika Kikao cha 76 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba wanajeshi wa Israel wamebakiwa na mwaka mmoja wawe wametoka kwenye ardhi za Palestina wanazozikalia kwa mabavu tangu mwaka 1967.