-
Ismail Hania: Hii leo muqawama ni ngao ya taifa la Palestina
Sep 26, 2021 04:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hii leo mapambano na muqawama ni upanga na ngao ya wananchi wa Palestina na kwamba, taifa la Palestina limeazimia na kukusanya nguvu zake kwa ajili ya ukombozi wa ardhi yake.
-
Serikali ya Kurdistan yalaani mkutano wa Erbil wa kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 26, 2021 04:32Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo la Kurdistan la Iraq lenye utawala wa ndani sambamba na kusisitiza kuwa, itawachukulia hatua watu walioitisha na kuandaa mkutano wa jana wa Erbil kwa kupotosha malengo ya mkutano huo na badala yake kuwa ni kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel imetangaza kuwa, eneo hilo linafungamana na sera rasmi za Wizara ya Mashauuri ya Kigeni ya Iraq kuhusiana na Palestina.
-
Kuwait: Palestina ingali maudhui kuu na ya msingi katika ulimwengu wa Kiislamu
Sep 26, 2021 01:05Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, Palestina ingali maudhui kuu na ya asili katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Al Miqdadi: Marekani ikomeshe kuwepo kwake haramu kijeshi katika ardhi ya Syria
Sep 25, 2021 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa, kuwepo kijeshi Marekani nchini humo ni haramu na kinyume cha sheria na inapasa Washington iondoke katika ardhi ya nchi hiyo haraka iwezekanavyo.
-
HAMAS yalaani vikao vya viongozi wa Palestina na mawaziri, wabunge wa utawala wa Kizayuni
Sep 25, 2021 00:12Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikao vinavyofanywa baina ya maafisa wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mwana wa muasisi wa Israel autabiria maangamizi utawala wa Kizayuni
Sep 24, 2021 23:05Mwana wa mwasisi wa Israel ambaye baba yake ndiye aliyetia saini tangazo la kuanzishwa dola hilo pandikizi mwaka 1948 na ambaye hivi sasa ni mpinzani mkubwa wa utawala wa Kizayuni anayepitisha siku za mwisho za umri wake, ameutabiria maafa utawala huo dhalimu unaokikalia kwa mabavu Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Mafuta ya Iran yafufua sekta ya kilimo nchini Lebanon
Sep 24, 2021 23:04Mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanayoendelea kutumwa nchini Lebanon yamefanikiwa kufufua sekta ya kilimo katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo na shughuli za kilimo za wakazi wa maeneo hayo zimeanza kunawiri tena.
-
Wayemeni zaidi ya elfu moja huaga dunia kwa njaa kila wiki
Sep 24, 2021 08:16Wananchi wa Yemen zaidi ya elfu moja hupoteza maisha kwa njaa na utapiamlo kila wiki nchini humo.
-
Je, kuongezeka ugaidi wa Daesh nchini Iraq ni kujikarabati kundi hilo au ni njama mpya ya Marekani?
Sep 24, 2021 06:28Tangu mwanzo wa mwezi huu, magaidi wa Daesh wametekeleza operesheni 16 za ugaidi katika mikoa ya Iraq ya Kirkuk, Swalah ad-Deen na Diyala, ambapo watu zaidi ya 45 wameuawa na kujeruhiwa.
-
Meli ya pili ya mafuta kutoka Iran kwa ajili ya Lebanon yatia nanga Baniyas
Sep 24, 2021 04:13Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa meli kubwa ya pili ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetia nanga katika bandari ya Baniyas nchini Syria.