-
Hamas: Israel imeshambulia tena Ghaza ili kunyanyua mori wa wanajeshi wake
Jun 18, 2021 08:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, shambulio la jana la ndege za utawala wa Kizayuni dhidi ya kambi za muqawama katika Ukanda wa Ghaza ni chokochoko mpya za Israel zilizolenga kunyanyua mori wa wanajeshi wake waliopata kipigo katika mapigano ya hivi karibuni ya siku 12 ya Ukanda wa Ghaza maarufu kwa jina la vita vya "Upanga wa Quds."
-
Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wamlaumu Johnson kwa kukutana na madikteta wa Bahrain
Jun 18, 2021 02:21Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza wamemkosoa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson kwa kukutana kimyakimya na mrithi wa utawala wa kidikteta wa Bahrain.
-
Saudia yawavurumishia maroketi wananchi wa Yemen
Jun 17, 2021 03:31Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la mashambulio ya kikatili dhidi ya Yemen, muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia umeyavurumishia maroketi makazi ya raia katika mikoa kadhaa ya nchi hiyo maskini jirani yake.
-
Uungaji mkono wa Wapalestina kwa Hamas umeongezeka baada ya 'Upanga wa Quds'
Jun 17, 2021 02:51Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, uungaji mkono wa Wapalestina kwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) umeongezeka zaidi baada ya kujiri vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds).
-
Amnesty yataka uchunguzi wa kifo cha mfungwa wa kisiasa Bahrain
Jun 16, 2021 21:55Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa kifo tatanishi cha mfungwa wa kisiasa huko nchini Bahrain.
-
Uhusiano wa Imarati na Israel wapigwa na dhoruba
Jun 16, 2021 07:53Siku chache baada ya kuanza utekelezaji wa makubaliano ya mafuta baina ya Abu Dhabi na Tel Aviv, Waziri wa Mazingira wa utawala haramu wa Israel ametoa mwito wa kufutwa mapatano hayo.
-
Watu wawili wameuawa na kadhaa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu Afrin, Syria
Jun 16, 2021 03:33Watu wawili wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari lililokuwa limetegwa bomu kulipuka katika mji wa Afrin kaskazini magharibi mwa mkoa wa Halab (Aleppo) nchini humo.
-
Hamas: Mashambulizi dhidi ya Ghaza ni jaribio lililofeli la kuzuia muqawama wa wakazi wa Quds
Jun 16, 2021 03:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Ghaza lilikuwa jaribio lililofeli kwa lengo la kuzuia mapambano ya wananchi wa Palestina katika mji wa Quds.
-
Jeshi la Yemen latoa picha za askari wa Saudia, mamluki wa Sudan waliokamatwa
Jun 15, 2021 22:04Idara ya Upashaji Habari ya Kamandi Kuu ya Operesheni za Yemen imesambaza picha na mahojiano waliofanyiwa wanajeshi kadhaa wa Saudia, na mamluki wa Sudan waliokamatwa na vikosi vya Yemen katika operesheni ya hivi karibu katika mkoa wa Jizan, huko kusini mwa Saudi Arabia.
-
Kuendelea mashambulizi ya jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Syria
Jun 15, 2021 09:02Wanajeshi wa Uturuki wanaendeleza mashambulizi mtawala dhidi ya maeneo ya raia huko Iraq na Syria.