-
Kuporomoka nduli wa Israel na kumalizika miaka 12 ya uwaziri mkuu wa Netanyahu
Jun 14, 2021 23:25Hatimaye nduli wa Israel, Benjamin Netanyahu ameporomoka kama walivyoporomoka makatili na nduli wote. Jumapili, Juni 13, 2021 bunge la utawala wa Kizayuni liliitisha kikao na kupasisha baraza jipya la mawaziri la Israel na kumbwaga Benjamin Netanyahu.
-
Kwa mwaka wanawake elfu 8 na kila dakika 5 mtoto mmoja hupoteza maisha nchini Yemen
Jun 14, 2021 23:22Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ameweka wazi athari mbaya za mashambulio ya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen na kuzingirwa nchi hiyo ya Kiarabu
-
Jihad Islami yaonya kuhusu hatua ya kichochezi ya Wazayuni ya 'Maandamano ya Bendera'
Jun 14, 2021 08:36Harakati ya Jihad Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina imesema mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuandaa 'maandamano ya bendera' ni hatari na wa kichochezi.
-
Majibu ya HAMAS kwa matamshi ya kichochezi na ya kujikomba kwa Wazayuni ya waziri wa Imarati
Jun 14, 2021 04:49Matamshi ya kichochezi yaliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Hizbullah ya Lebanon na kundi la Ikhwanul Muslim, yamejibiwa na harakati ya HAMAS ya Palestina.
-
Netanyahu atupwa nje, Waisraeli washangilia, dunia yapongeza
Jun 14, 2021 03:38Benjamin Netanyahu ametimuliwa madarakani na kufikia tamati utawala wake wa miaka 12 katika utawala wa Kizayuni wa Israel. Hii ni baada ya bunge la utawala huo haramu (Knesset) kupiga kura ya kuidhinisha serikali mpya ya muungano jana Jumapili.
-
Jumuiya ya Maulama wa Yemen yalaani uamuzi wa Saudia wa kuzuia ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo
Jun 13, 2021 06:41Jumuiya ya Maulamaa wa Yemen imelaani uamuzi uliochukuliwa na Saudi Arabia wa kuzuia ibada ya Hijja na Umra kwa Waislamu kutoka nje ya nchi hiyo kwa mwaka wa pili mfululizo.
-
Kifungo cha miaka 10 jela kinamsubiri Benjamin Netanyahu
Jun 13, 2021 02:33Wakili wa Katiba ya utawala wa Kizayuni kutoka kituo cha uchunguzi wa demokrasia cha utawala huo amesema kuwa, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netnyahu lazima atapandishwa kizimbani baada ya kung'olewa madarakani na kwa uchache basi hawezi kukwepa kifungo cha miaka 10 jela kwa makosa yake ya ufisadi.
-
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Saudia yazuia ibada ya Hija kwa Waislamu kutoka nje ya nchi kwa sababu ya janga la corona
Jun 12, 2021 22:51Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, ibada ya Hija mwaka huu itafanyika kwa kushirikisha raia na wageni wanaoishi nchini humo wasiozidi elfu 60.
-
UN yailaumu serikali ya Imarati kwa kuvunja haki za binadamu
Jun 12, 2021 22:40Mary Lawlor, mwakilishi wa ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ameelezea kusikitishwa sana na utiaji watu mbaroni na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanyika katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kutaka kuachiliwa huru haraka watu wanaowekwa kizuizini kiholela.
-
Nujabaa ya Iraq: Tuko tayari kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria
Jun 12, 2021 08:08Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Iraq ya al-Nujabaa ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo ametangaza utayarifu wa harakati yake kwa ajili ya kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria.