-
Ujumbe wa faili la sauti ya mateka wa Israel anayeshikiliwa na wanamapambano wa Palestina
Jun 09, 2021 21:55Katika kipindi cha sasa kiwingu cha kiwewe cha kisiasa na kijeshi kinaendelea kutanda katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel).
-
Sayyid Nasrullah: Bila shaka sote tutaswali katika Msikiti wa al-Aqsa
Jun 09, 2021 03:47Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hakuna chembe ya shaka kuwa Waislamu wote karibuni hivi wataibuka washindi mkabala wa Wazayuni na waitifaki wao, na hatimaye watatekeleza ibada ya Swala katika Msikiti mtukufu wa al-Aqsa, huko Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kampuni ya Israel yaiuzia Saudia teknolojia ya ujasusi
Jun 09, 2021 03:46Shirika moja la ujasusi wa mitandaoni la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuuzia utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia teknoljia ya kisasa ya kufanya ujasusi na kudukua mawasiliano ya simu-erevu za rununu.
-
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Syria wazima shambulio la makombora la Israel
Jun 09, 2021 03:46Jeshi la Syria limetangaza kuwa, ngao ya ulinzi wa anga ya nchi hiyo imefanikiwa kuzima shambulio la makombora la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Damascus.
-
Makala inayofichua nafasi ya Israel katika vita dhidi ya Yemen kurushwa hewani
Jun 09, 2021 03:46Msemaji wa Vikosi vya Yemen amesema makala tarishi ya kufichua nafsi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita dhidi ya Yemen vilivyoanza tokea Machi 25 mwaka 2015 itarushwa karibuni hivi.
-
Israel yabomoa makumi ya nyumba za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jun 08, 2021 03:40Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limebomoa madazeni ya nyumba za Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kambi ya muqawama haitaruhusu kuvunjiwa heshima al-Aqsa
Jun 07, 2021 22:17Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema wananchi wa Palestina na kambi ya muqawama katu hawataruhusu kuvunjiwa heshima Masjidul Aqsa.
-
Mwaka wa 54 wa kumbukumbu ya Siku ya Naksa; kuanzia ushindi mkabala na nchi tatu za Kiarabu hadi kushindwa katika vita vya siku 12
Jun 06, 2021 22:02Jumamosi tarehe 5 Juni ilisadifiana na maadhimisho ya mwaka wa 54 wa kumbukumbu ya Siku ya Naksa huko Palestina.
-
Hamas yaonya kuhusu hujuma yoyote ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa
Jun 06, 2021 21:59Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza ametoa tamko baada ya kubainika kuwa Wazayuni wanapanga kufanya shambulio jingine dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Wazayuni wasitisha maandamano baada ya onyo la muqawama wa Palestina
Jun 06, 2021 21:58Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni, Benny Gantz ameyataka magenge ya Kizayuni yasifanye tena maandamano kuelekea Msikiti wa al Aqsa huko Baytul Muqaddas baada ya wanamapambano wa Palestina kuonya kwamba wataupiga tena kwa makombora mji wa Tel Aviv kama Wazayuni watafanya maandamano hayo.