-
Watu 11 wamepoteza maisha katika mlipuko wa bomu kando ya barabara huko Afghanistan
Jun 06, 2021 03:24Ripoti kutoka Afghanistan zinasema kuwa, watu wasiopungua 11 wameuawa kaskazini mwa nchi hiyo baada ya gari lao kuripuliwa na bomu la kutegwa ardhini jana Jumamosi.
-
Makundi ya Wazayuni yatishia kumuua mrithi mtarajiwa wa Netanyahu, Israel
Jun 06, 2021 02:57Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, waziri mkuu mtarajiwa wa utawala huo Naftali Bennett anayetoka muungano wa wapinzanii wa waziri mkuu wa ssaa Benjamin Netanyahu ametishiwa kuuawa.
-
Wapalestina milioni moja wametiwa nguvuni na Israel tangu mwaka 1967
Jun 05, 2021 22:42Jumuiya ya Mateka na Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia nguvuni zaidi ya Wapalestina milioni moja tangu mwaka 1967.
-
Baada ya kuchezea kipigo cha Wapalestina Gaza, Israel iliiomba Marekani iingilie kati
Jun 05, 2021 22:01Gazeti moja la Kizayuni limefichua kuwa, utawala haramu wa Israel uliiangukia miguuni Marekani ukiitaka iingilie kati na ishinikize kusitishwa mapigano baina ya utawala huo pandikizi na makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Upinzani Bahrain wailaani US kupeperusha 'bendera ya ushoga' Manama
Jun 05, 2021 21:56Chama kimoja cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kupeperusha bendera yenye nembo ya kuunga mkono ushoga katika ubalozi wake mjini Manama.
-
Muhammad al Houthi: Umoja wa Mataifa unahusika na maafa ya kibindamu huko Yemen
Jun 05, 2021 02:57Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa Umoja wa Mataifa unahusika na maafa ya kibinadamu yanayotokea nchini humo kutokana na kimya ilichodhihirisha kwa suala la " meli ya mafuta ya Safer."
-
Jihad Islami: Kuondolewa Netanyahu madarakani ni miongoni mwa mafanikio ya operesheni ya "Panga la Quds"
Jun 04, 2021 22:01Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa moja kati ya matunda ya opesheni ya "Panga la Quds" ni kuondolewa madarakani Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Zarif: Netanyahu naye pia ametupwa katika jaa la taka za historia; Iran inasimama kwa heshima
Jun 04, 2021 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria mchakato wa kuondolewa Benjamin Netanyahu katika nafasi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, Netanyahu pia ametupwa katika jaa la taka za historia.
-
Sheikh Issa Qassim: Muqawama ni moja ya mafanikio muhimu zaidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 04, 2021 03:30Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema moja kati ya mafanikio makubwa zaidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kuundwa mrengo wa muqawama au harakati za Kiislamu na kupata ushindi mrengo huo katika mapambando dhidi ya mfumo wa kibeberu.
-
UN: Israel ikome kuyasaidia magenge ya Wazayuni wenye silaha dhidi ya Wapalestina
Jun 03, 2021 06:51Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya jamii za waliowachache ameitaka Israel ikome kuyasaidia magenge yenye silaha dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika ardhi zilizokaliwa kwa mabavu mwaka 1848.