-
Nasrallah: Hujuma dhidi ya Quds ina maana ya vita vya kieneo na kuangamia Israel
May 26, 2021 06:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa hujuma dhidi ya maeneo matukufu katika mji wa Quds (Jerusalem) inaweza kupelekea kuibuka vita vya kieneo na kuangamizwa utawala huo wa Kizayuni.
-
Rais Assad apiga kura katika uchaguzi wa rais, asema Wasyria wameungana dhidi ya ugaidi
May 26, 2021 06:07Rais Bashar al Assad wa Syria na mke wake, Asma, leo wamepiga kura katika uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Mamlaka ya Ndani: Njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo, ni kuundwa nchi huru ya Palestina
May 26, 2021 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, juhudi za kimataifa za kujaribu kuutatua kisiasa mgogoro wa Palestina hazitofanikiwa ila kwa kuundwa nchi huru ya Palestina mjini mkuu wake ukiwa ni Baytul Muqaddas.
-
HAMAS yawapa mbinu Wapalestina wa Quds za kupambana na Wazayuni
May 25, 2021 06:35Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewataka Wapalestina wanaoishi katika mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas kutotulia, bali waendelee kujibu jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi yao.
-
Msemaji wa Brigedi za al Qassam: Ushindi katika vita vya Saif al Quds ni natija ya damu za mashahidi
May 25, 2021 03:23Msemaji wa Brigedi za al Qassam ambazo ni tawi la kijeshi la harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, ushindi katika vita vya Saif al Quds ni matokeo ya damu za mashahidi na yenye baraka yanayotokana na utendaji mzuri wa wapiganaji wao katika chumba cha pamoja cha makundi ya muqawama.
-
Jordan: Amani haitopatikana Palestina maadamu Wazayuni wanazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina
May 24, 2021 22:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan amesema kuwa, hakuna matumaini yoyote ya kumalizika vita na kupatikana amani, maadamu utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani
May 24, 2021 21:47Kituo cha Uratibu wa Makundi ya Muqawama ya Iraq kimetoa taarifa kikisema muhula waliokuwa wamepewa askari vamizi wa Marekani kuondoka Iraq umefika ukingoni na sambamba na hilo kumeshadidishwa oparesheni dhidi ya maeneo waliko magaidi hao wa Marekani nchini Iraq.
-
Hamas yawatahadharisha Wazayuni kuhusu kushambulia tena Quds
May 24, 2021 08:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni maghasibu kuhusu kufanya chokochoko na mashambulizi ya aina yoyote dhidi ya Quds na Msikiti Mtukufu wa al Aqsa.
-
Muswada wa kupiga marufuku kuanzisha uhusiano na utawala wa Israel wawasilishwa Bunge la Tunisia
May 24, 2021 06:08Bunge la Tunisia litaanza kuchunguza muswada wa sheria ya kupiga marufuku na kutambua kuanzisha uhusiano na utawala wa kizayuni wa Israel kuwa ni kosa la jinai.
-
Utambulisho wa kigaidi wa Israel wabainika zaidi baada ya tishio la kuwaua makamanda wa muqawama
May 24, 2021 05:36Benny Gantz waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa tishio la wazi la kutaka kuwaua kigaidi makamanda wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.