-
Utambulisho wa kigaidi wa Israel wabainika zaidi baada ya tishio la kuwaua makamanda wa muqawama
May 24, 2021 05:36Benny Gantz waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa tishio la wazi la kutaka kuwaua kigaidi makamanda wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Sababu ya kukasirishwa Saudi Arabia na matamshi ya msimamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon
May 23, 2021 22:03Tarehe 10 Mei utawala wa kigaidi wa Israel ulianzisha mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuyaendeleza kwa muda wa siku 12 ambapo mamia ya raia wa kawaida na hasa wanawake na watoto waliuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi hayo ambayo pia yamesababisha hasara kubwa kwenye miundomsingi ya kiuchumi na kijamii katika ukanda huo.
-
Jordan yalaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa al Aqsa
May 23, 2021 22:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imelaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa al Aqsa na hatua ya utawala huo ya kuwatia nguvuni wafanyazi wa Idara ya Waqfu ya Quds.
-
Baada ya kushindwa katika vita vya Gaza Wazayuni wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Wapalestina kufanya ibada
May 23, 2021 06:54Hali ya wasiwai imetanda tena katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina kutokana na hujuma ya walowezi wa Kizayuni wanaowashambulia raia wa Palestina wanaoelekea eneo hilo kwa ajili ya ibada baada ya jeshi la utawala katili wa Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya siku 12 huko Gaza.
-
Barua ya shukrani ya Katibu Mkuu wa Jihad Islami kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu; nafasi muhimu ya Iran katika ushindi wa mrengo wa mapambano ya Palestina
May 23, 2021 05:30Mrengo wa mapambano wa Palestina kwa mara nyingine umeutwisha fedheha na kushindwa utawala ghasibu wa Israel katika mashambuliuo yake ya kichokozi na kinyama ya siku 12 dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
"Himaya ya Kiongozi wa Iran iliwapa Wapalestina moyo wa kupambana na Wazayuni"
May 23, 2021 03:40Chama muhimu cha kisiasa cha Palestina kimejiunga na harakati za mapambano ya Kiislamu za Palestina ambazo zimemshukuru kwa dhati Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei kwa kuliunga mkono kwa dhati taifa la Palestina wakati lilipokabiliwa na hujuma ya kinyama ya utawala wa Kizayuni hivi karibuni.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim
May 23, 2021 03:33Wananchi wa Bahrain jana usiku walijitokeza kwa wingi katika maandamano ya kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim katika mkesha wa kumbukumbua ya Mashahidi wa Medani ya Al Fada.
-
Hasara za kiuchumi zilizosababishwa na vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza
May 22, 2021 22:20Vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vimemalizika baada ya kusababisha hasara kubwa za kiuchumi hususan kwa utawala wa Kizayuni wa Israel wenyewe.
-
Waandishi habari 170 walijeruhiwa katika vita ya Israel dhidi ya Gaza
May 22, 2021 22:20Mwenyekiiti wa Jumuiya ya Waandiihi Habari huko Palestina amesema kuwa waandishi wa habari wanaokaribia 170 walijeruhiwa katika mashambulizi ya karibuni ya Israel na kwamba jumuiya hiyo itawasilisha mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na suala hilo.
-
UN yasalimu amri, yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel dhidi ya raia wa Palestina
May 22, 2021 22:19Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za kivita na mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala katili wa Israel dhidi ya raia wa Palestina.