-
Waislamu wa Jordan na Lebanon waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wa Quds
Apr 29, 2021 22:47Kadiri Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inavyozidi kukaribia, ndivyo utawala wa Kizayuni wa Israel unavyozidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Kukingia kifua Marekani jinai za Israel dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya 'Apartheid'
Apr 29, 2021 22:41Marekani imechukua msimamo wa upande mmoja wa kupinga ripoti ya Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch ambayo inasema, utawala haramu wa Israel unatenda "jinai dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya apartheid na ukandamizaji" dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Moscow: Siasa za Magharibi za kuingilia masuala ya ndani ya Syria hazikubaliki
Apr 29, 2021 05:43Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa siasa za nchi za Magharibi za kuingilia masuala ya ndani ya Syria hazikubaliki na ziinapingana na sheria za kimataifa.
-
Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili
Apr 29, 2021 05:00Faisal bin Farhan bin Abdallah Al Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia alasiri ya Aprili 26 aliwasili Doha mji mkuu wa Qatar ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.
-
Qatar yakaribisha kwa mikono miwili msimamo wa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Iran
Apr 29, 2021 03:36Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amekaribisha kwa mikono miwili msimamo mpya wa Mohammad bin Salman mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia wa kuonyesha hamu iliyonayo nchi yake ya kuanzisha tena uhusiano na Iran.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Saudi Arabia inafanya magendo ya watoto wa Yemen
Apr 29, 2021 03:33Abdul-Malik Badreddin al-Houthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, magenge yanayotenda jinai dhidi ya watoto yamekuwa yakiwanunuau watoto wa Yemen kutoka kwa baba zao na kwenda kuwauza Saudia.
-
Palestina yataka dunia iishinikize Israel iruhusu uchaguzi Quds
Apr 28, 2021 21:58Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameiasa jamii ya kimataifa iushinikize zaidi utawala wa Kizayuni wa Israel ili ukubali kufanyika uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Bin Salman aonyesha hamu iliyonayo Saudia ya kuanzisha tena uhusiano na Iran
Apr 28, 2021 03:27Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia amesema Iran ni nchi jirani; na Riyadh ina matumaini kwamba itaweza kuwa na uhusiano mzuri na Tehran.
-
HRW: Israel inatenda jinai dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya 'Apartheid' kuwakandamiza Wapalestina
Apr 28, 2021 00:31Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unatenda "jinai dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya apartheid na ukandamizaji" dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, na kusisitiza kuwa, kuna ulazima kwa jamii ya kimataifa kutathmini upya uhusiano wake na utawala huo.
-
Saudia inaongoza katika nchi za Kiarabu na ni ya sita duniani kwa bajeti kubwa ya kijeshi
Apr 27, 2021 23:14Taasisi ya kimataifa ya tafiti za masuala ya amani ya Stockholm imeeleza katika ripoti yake kuwa, Saudi Arabia inashika nafasi ya kwanza kati ya nchi za Kiarabu na ni ya sita kati ya nchi zote duniani kwa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya masuala ya kijeshi.