-
Hamas: Mapambano ndiyo njia pekee ya kukabiliana na Israel
Apr 27, 2021 01:41Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kusalimu amri utawala wa Kizayuni wa Israel mbele ya waandamanaji wa Quds inayokaliwa kwa mabavu kumeonyesha kuwa, kusimama kidete na mapambano ndiyo njia pekee ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
-
Kuanza mchakato wa kuondoka askari wa Marekani na wa NATO kutoka nchini Afghanistan
Apr 26, 2021 23:51Jenerali Austin Scott Miller, kamanda wa askari wa Marekani na wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini Afghanistan alitangaza Jumapili iliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, mchakato wa kuondoka wanajeshi wa Marekani na wa NATO huko Afghanistan umeanza katika baadhi ya vituo vya kijeshi nvya nchi hiyo na kwamba, vituo vyote vya kijeshi vitakabidhiwa kwa vikosi vya Kiafghani.
-
WTO yatoa wito wa kutumwa chanjo ya corona kwenye nchi maskini
Apr 26, 2021 23:51Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) amezishukuru baadhi ya nchi kama India na China kwa kuziuzia nchi nyingine chanjo ya virosi vya corona na kuzitaka Marekani na Uingereza kufuata nyayo na kupeleka chanjo hiyo kwenye nchi maskini.
-
Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni mraibu wa dawa za kulevya
Apr 26, 2021 23:50Mtandao wa Saudi Leaks umefichua kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anatumia dawa za kulevya ni ni mraibu wa heroni.
-
Zarif asisitiza kuhusu udharura wa umoja wa umma wa Kiislamu
Apr 26, 2021 22:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu udharura wa umoja wa umma wa Kiislamu.
-
Quds na Intifadha ya Ramadhani
Apr 26, 2021 07:41Kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani kumekwenda sambamba na kuanza duru mpya ya mivutano baina ya Wapalestina na Wazayuni huko Quds inayokaliwa kwa mabavu ambapo Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetoa mwito wa kufanyika Intifadha ya Quds.
-
UN: Uchunguzi ufanyike baada ya moto kuua watu 82 hospitalini Baghdad
Apr 26, 2021 06:39Umoja wa Mataifa umetaka uchunguzi ufanyike kuhusu moto uliozuka hospitalini na kupelekea watu 82 kupoteza maisha katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
HAMAS yawahutubu Wazayuni: Mapambano ya Quds ni mapambano yetu sote
Apr 26, 2021 03:29Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, ikiwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utaendeleza siasa zake za kiuadui dhidi ya Quds hakutakuwapo na utulivu wowote.
-
Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen
Apr 26, 2021 03:29Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Uokovu wa kitaifa ya Yemen imesema, imenasa mawasiliano yaliyofanywa kati ya Marekani na vinara kadhaa wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda katika mikoa ya Aden na Ma'rib na mashauriano yaliyofanywa baina ya pande hizo mbili.
-
Hamas yataka makundi ya muqawama yaandae makombora ya kutwanga maeneo 'hassas' ya Israel
Apr 25, 2021 22:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa kufuatia matukio ya hivi karibuni ya mji wa Baytul Muqaddas na kuyataka makundi ya muqawama ya Ukanda wa Ghaza kuweka tayari makombora yao kwa ajili ya kupiga na kusambaratisha maeneo nyeti ya Israel.