-
Utawala wa Kizayuni waendelea kufanya wizi katika ardhi za Wapalestina
Apr 24, 2021 03:01Chombo kimoja cha Palestina kimelalamikia vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendelea kupora ardhi za Wapalestina hususan katika mji wa Quds Mashariki.
-
Hizbullah ya Lebanon: Palestina ndio dira halisi ya umma wa Kiislamu
Apr 23, 2021 22:51Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa kulaani hatua za kijinai walizofanyiwa hivi karibuni wananchi wa Palestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na kusisitiza mshikamano wake na taifa tukufu la Palestina.
-
Jordan yamtumia salamu kali Bin Salman kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi nchini humo
Apr 23, 2021 22:49Duru moja ya kuaminika nchini Saudi Arabia imeripoti kuwa, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Mohammad bin Salman ametumiwa ujumbe wa salamu kali za maneno kutoka mamlaka za ufalme wa Jordan kutokana na alivyohusika katika jaribio la hivi karibuni la mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
-
Ismail Hania: Quds haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya Wazayuni
Apr 23, 2021 07:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, Quds haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya utawala haramu wa Israel na siasa zake za ubaguzi.
-
Haaretz: Chokochoko za Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto
Apr 23, 2021 07:30Gazeti la Kizayuni la Haaretz limemtahadharisha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel likieleza kuwa, chokochoko za Benjamin Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto na kwamba zinaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Israel.
-
‘Quds’, mhimili mkuu katika uchaguzi wa Bunge la Palestina
Apr 23, 2021 05:38Utawala wa Kizayuni wa Israel unajaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem) hatua ambayo imekabiliwa na tahadhari kutoka kwa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina.
-
HAMAS yatahadharisha kuhusu mpango wa kuakhirisha uchaguzi Palestina
Apr 22, 2021 21:53Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameonya kuwa, hatua yoyote ya kubadilisha kalenda na ratiba ya uchaguzi wa Palestina ambao umesubiriwa kwa muda mrefu itatoa pigo kwa jitihada za kuzipatanisha tawala hasimu katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa: Wakaazi wa Quds hawatasalimu amri mbele ya Israel
Apr 22, 2021 06:47Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa amesema wakaazi wa mji wa Quds (Jerusalem) hawatasalimu amri mbele ya utumiaji mabavu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Mayahudi wenye misimamo ya kufurutu ada.
-
Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona
Apr 22, 2021 06:42Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa yamelenga eneo moja la Damascus.
-
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Iran na Saudi Arabia; sababu na umuhimu wake
Apr 22, 2021 05:32Duru za habari zimeripoti kuwa, katika siku za karibuni yamefanyika mazungumzo ya ana kwa ana baina ya Iran na Saudi Arabia katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kwa upatanishi wa serikali ya nchi hiyo.