-
Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona
Apr 22, 2021 06:42Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa yamelenga eneo moja la Damascus.
-
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Iran na Saudi Arabia; sababu na umuhimu wake
Apr 22, 2021 05:32Duru za habari zimeripoti kuwa, katika siku za karibuni yamefanyika mazungumzo ya ana kwa ana baina ya Iran na Saudi Arabia katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kwa upatanishi wa serikali ya nchi hiyo.
-
Baada ya kukamilika uchunguzi, 18 wakamatwa nchini Jordan kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi
Apr 22, 2021 03:05Serikali ya Jordan imetangaza kuwa, imewatia nguvuni watu 18 kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la mapinduzi dhidi ya Mfalme Abdalla II wa nchi hiyo baada ya kukamilika uchunguzi kuhusiana na faili hilo.
-
Damascus: OPCW ni genge la kuwahami wahalifu na magaidi
Apr 22, 2021 02:32Wizara ya Mambo ya Nchi za Mje wa Syria imelaani uamuzi uliotolewa dhidi ya nchi hiyo na Shirika la Kimataifa la Kuzuia Matumizi ya Silaha za Kemikali, (OPCW) ambao rasimu yake imetayarishwa na Ufaransa na kuutaja kuwa unayaunga mkono na kuyahami makundi ya kigaidi.
-
Mlipuko mkubwa katika kiwanda nyeti cha makombora cha Israel
Apr 21, 2021 23:16Mlipuko mkubwa umejiri katika kiwanda nyeti cha utawala wa Kizayuni wa Israel ambacho hutumika kutengeneza makombora.
-
Bashar al-Assad kuwania tena urais Syria katika uchaguzi wa mwezi ujao
Apr 21, 2021 07:08Rais Bashar al-Assad wa Syria leo amekabidhi fomu za kugombea kiti cha urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 26 ya mwezi ujao wa Mei.
-
Mkutano wa amani ya Afghanistan uliopangwa kufanyika Uturuki waakhirishwa
Apr 21, 2021 07:04Mkutano wa amani ya Afghanistan ambao ulipangwa kufanyika mjini Istanbul Uturuki umeakhirishwa.
-
Sanders ataka kubanwa misaada ya Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 21, 2021 05:07Seneta wa kujitegemea wa Marekani, Bernie Sanders ameitaka serikali ya nchi hiyo kubana misaada yake kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa shabaha ya kuushinikiza ukomeshe kukalia kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Arab League: Maazimio ya Baraza la Usalama la UN kuhusu ulazima kuondoka maghasibu huko Palestina yatekelezwe
Apr 20, 2021 21:59Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza udharura wa kutekelezwa maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayotaka kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Safari ya Hassan Diab nchini Qatar; malengo na umuhimu wake
Apr 20, 2021 06:25Hassan Diab, Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon Jumapili ya juzi tarehe 18 Aprili aliwasili Doha, mji mkuu wa Qatar ikiwa ni safari yake ya kwanza nje ya nchi tangu ulipoanza mwaka huu wa 2021.