-
Vikosi vya Yemen vyafanya shambulio la kushtukiza dhidi ya jeshi la Saudia huko Najran
Apr 20, 2021 03:21Duru za habari zimeripoti kuwa vikosi vya jeshi la Yemen na makundi ya kujitolea ya wananchi vimefanya shambulio la kushtukiza dhidi ya wanajeshi wa Saudi Arabia kusini mwa Saudia.
-
Hassan Diab: Lebanon inakaribia kusambaratika
Apr 19, 2021 23:07Waziri Mkuu wa muda wa Lebanon amesema ana wasiwasi juu ya hatari ya kusambaratika nchi yake kutokana na migogoro mikubwa iliyojitokeza na ambayo haijaweza kutatuliwa, ukiwemo wa kuunda serikali mpya.
-
Mwaka wa 75 wa Siku ya Uhuru wa Syria ya Idul-Jalaa
Apr 19, 2021 20:31Mnamo karne ya 20, watu wa Syria walikoloniwa na Wafaransa kwa muda wa miaka 26. Wakoloni wa Kifaransa waliingia katika ardhi ya Syria mwaka 1920.
-
Ripoti: Mwanamfalme wa Saudia alishirikiana na Israel katika jaribio la mapinduzi dhidi ya Mfalme wa Jordan
Apr 19, 2021 09:00Duru za habari zimefichua habari zaidi kuhusu jaribio lililoshindwa la mapinduzi nchini Jordan na kutangaza kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman ameshirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika jaribio hilo.
-
Mamia ya wanaharakati wa Kiislamu wakamatwa Bangladesh kwa kupinga safari ya Modi
Apr 19, 2021 09:00Polisi ya Bangladesh imewatia nguvuni mamia ya wanaharakati wa Kiislamu baada ya mandamano yaliyoandamana na umwagaji damu ya kupinga safari ya Waziri Mkuu wa India nchini humo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
-
Rais wa Afghanistan: Taifa letu halitaporomoka kwa kuondoka askari wa Marekani
Apr 19, 2021 03:14Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameashiria uamuzi uliotangazwa hivi karibuni na Rais wa Marekani Joe Biden wa kuwaondoa askari wa jeshi la nchi hiyo walioko nchini Afghanistan na kusisitiza kuwa, taifa hilo kamwe halitaporomoko kwa kuondoka wanajeshi hao vamizi wa US.
-
Khalid Mash'al: Kadhia ya mateka inaongoza katika vipaumbele vya Hamas na wananchi wa Palestina
Apr 18, 2021 22:23Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nje ya Palestina amesema kuwa suala la mateka wa Kipalestina lipo katika mioyo na fikra za wananchi wote na kusisitiza kadhia ya mateka inaongoza katika vipaumbele vya harakati hiyo na wananchi wa Palestina.
-
Uchaguzi wa Rais wa Syria kufanyika mwezi ujao wa Mei
Apr 18, 2021 22:16Syria imeanisha Mei 26 mwaka huu kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais katika taifa hilo la Kiarabu linalosakamwa na mapigano, hujuma za kigaidi na uingilaji wa kigeni kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.
-
HAMAS: Tutaendeleza mkakati wa kuwakamata mateka wanajeshi wa Kizayuni
Apr 18, 2021 02:42Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kadhia ya mateka Wapalestina ni suala la msingi na kwamba mkakati wa kuwakamata mateka askari wa Kizayuni ni njia athirifu zaidi kwa ajili ya kulishughulikia suala la mateka wa Kipalestina.
-
Viongozi wa UAE wamtumia salamu za pongezi Rais Assad kwa mnasaba wa siku ya uhuru wa Syria
Apr 18, 2021 01:58Kiongozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), naibu wake na mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi, wamemtumia, kwa nyakati tofauti, Rais Bashar al Assad wa Syria salamu za pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya uhuru na kufikia tamati kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na Wakoloni Wafaransa.