-
Mamluki wa Saudia na Imarati wapigana wao kwa wao kusini mwa Yemen
Apr 12, 2021 06:54Mamluki wa kundi linalojiita Baraza la Mpito la Kusini lenye mfungamano na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na wale wa serikali iliyojiuzulu ya Yemen wenye mfungamano na Saudi Arabia kwa mara nyingine tena wamepigana wao kwa wao huko kusini mwa Yemen.
-
Sheikh Naim Qassim: Ushindi wa Iran ni ushindi wa mhimili wa muqawama
Apr 12, 2021 03:39Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuirejesha Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutakuwa ni ushindi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Al Houthi: Mtoto mmoja wa Yemen anaaga dunia kila sekunde 5 kutokana na athari mbaya za mzingiro wa Saudia
Apr 11, 2021 22:16Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa mtoto mmoja wa Yemen hufariki dunia kila baada ya sekunde 5 kutokana na mzingiro wa kidhalimu wa Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo.
-
Waziri wa Saudia: Mabaki ya chakula yenye thamani ya riyali bilioni 40 yanamwagwa kila mwaka
Apr 11, 2021 09:14Waziri wa mazingira, maji na kilimo wa Saudi Arabia Abdurahman al Fadhli amefichua kuwa, tani milioni nne na 66,000 za mabaki ya chakula zinamwagwa nchini humo kila mwaka, ambazo thamani yake inakadiriwa kuwa ni sawa na riyali bilioni 40 za nchi hiyo.
-
Marekani yasisitiza Israel ni mshirika wake wa kistratejia katika eneo
Apr 11, 2021 08:13Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ni mshirika wa kistratejia wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ansarullah: Kuendelea mzingiro dhidi ya Yemen Mwezi wa Ramadhani ni dhidi ya ubinadamu
Apr 11, 2021 04:05Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kitendo cha Saudia kuendeleza mzingiro dhidi ya Yemen katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni kitendo kilicho dhidi ya ubinadmau.
-
Vibarua wa kigeni Saudia wanakabiliwa na hali mbaya, Wabangladeshi wengi waambukizwa corona
Apr 11, 2021 03:25Kufuatia kuibuka wimbi jipya la COVID-19 au corona duniani, taarifa kutoka Saudi Arabia zinaonyesha vibarua wa kigeni wenye asili ya Asia nchini humo wanakabiliwa na hali mbaya ya kiafya.
-
Mwandishi habari ajiuzulu katika televisheni ya Saudia inayopinga Wapalestina
Apr 11, 2021 03:20Mwandishi habari Mpalastina amejiuzulu na kuacha kazi katika televisheni ya Al Arabiya inayomilikiwa na Saudia kutokana na televisheni hiyo kuwa na sera zilizo kinyume na matakwa ya wapigania ukombozi wa Palestina.
-
Ndege za kivita za Iraq zashambulia ngome za magaidi wa ISIS nchini Iraq
Apr 11, 2021 03:15Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia ngome za magaidi wa ISIS au Daesh katika Milima ya Hamrin mkoani Diyala ambapo magaidi kadhaa wameangamizwa
-
Sisitizo la umoja wa ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Apr 11, 2021 03:08Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesisitiza kuhusu umoja wa ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na uchochezi mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel.