-
Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria
Apr 10, 2021 07:59Lebanon imekosoa vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel kutumia anga ya hiyo ya Kiarabu kutekeleza mashambulio ya makombora dhidi ya Syria.
-
Hamas: Kukataa kushirikiana na ICC kunaonesha upeo wa kiburi cha Israel
Apr 10, 2021 03:15Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukataa kutoa ushirikiano kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kinaonesha wazi upeo wa jeuri na kiburi cha utawala huo haramu kwa taasisi za kimataifa.
-
Mpinzani wa Saudia: Bin Salman ni Saddam mpya Mashariki ya Kati
Apr 09, 2021 22:05Mpinzani mashuhuri wa Saudii Arabia, Umar Abdul Aziz amesema kuwa mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman atakuwa Saddam Hussein mpya wa Mashariki ya Kati iwapo ataendelea na kazi na mwenendo wake wa sasa.
-
Qais al Khazali: Saudia na Imarati hazijafanya kitu kingine ghairi ya uharibifu nchini Iraq
Apr 09, 2021 22:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amekosoa hatua za Marekani, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa Wairaqi hawana hata chembe ya imani na nchi hizo.
-
Wanaharakati wa nchi za Kiarabu waanzisha kampeni ya kuisusia UAE kwa kuuza bidhaa za Israel
Apr 08, 2021 22:08Wanaharakati wa mitandao ya kijamii katika nchi za Kiarabu wameanzisha kampeni ya kuususia Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati kwa kuuza bidhaa za Israel kwa kutumia chapa za biashara za Jordan na za eneo la Ufukwe wa Magharibi katika masoko ya nchi hiyo na kwa kuzisafirisha pia katika nchi zingine za Ghuba ya Uajemi.
-
Jeshi la Anga la Syria lafanikiwa kuzuia hujuma ya Israel
Apr 08, 2021 08:51Jeshi la Anga la Syria limetangaza kuwa Alhamisi asubuhi limefanikiwa kuzuia hujuma ya ndege za kivita za utawala wa Israel.
-
Amnesty: Israel inazuia kupelekwa chanjo ya corona kwa Wapalestina
Apr 07, 2021 22:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, hatua za kihasama za utawala wa Israel zinazuia operesheni ya kutumwa chanjo ya virusi vya corona huko Palestina.
-
Tathmini ya kikao cha tatu cha Baghdad na washington
Apr 07, 2021 22:07Duru mpya ya mazungumzo ya kistratijia baina ya Baghdad na Washington ilianza jana Jumatano kwa njia ya video. Taarifa iliyotolewa huko nyuma na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilisema kuwa mazungumzo hayo yatahusu usalama, namna ya kupambana na ugaidi, nishati na masuala ya kisiasa.
-
Makundi ya Muqawama ya Iraq yatishia kushambulia vikosi vya majeshi ya Marekani
Apr 07, 2021 07:43Makundi ya Muqawama na mapambano ya Iraq yametishia kutoa vipigo vikali na makini kwa majeshi vamizi ya Marekani yaliyoko nchini humo iwapo Baghdad na Wshington hazitatangaza muda maalumu wa kuondoka majeshi hayo katika ardhi ya Iraq.
-
Askari wa Israel wamuua shahidi dereva wa Kipalestina Ukingo wa Magharibi
Apr 06, 2021 23:03Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi dereva Mpalestina kwa kumpiga risasi akiwa ndani ya gari lake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.