-
Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 50 nchini Nigeria
Apr 06, 2021 22:59Makumi ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Jeshi la Afghanistan lasema limeua wanachama 104 wa Taliban
Apr 06, 2021 22:55Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 100 wa kundi la Taliban ndani ya saa 24.
-
Jaribio la mapinduzi Jordan, Saudia yatuma ujumbe maalumu kuomba kuachiliwa huru mtu wake
Apr 06, 2021 08:24Ujumbe mmoja wa ngazi za juu wa Saudi Arabia umetumwa nchini Jordan kwenda kuzungumza na viongozi wa Amman kuhusu kuachiliwa huru mmoja wa watuhumiwa wa jaribio hilo lililoshindwa la kumpindua Mfalme Abdullah II.
-
Saudia yashurutisha kuwa na chanjo ya corona kwa wanaotaka kufanya Umra
Apr 06, 2021 03:07Wizara ya Hija ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, watu waliopewa chanjo ya corona ndio watakaoruhusiwa kufanya ibada ya Umra katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na kutekeleza ibada ya Swala katika Msikiti wa Makka.
-
Kanali Ali: Mabomu ya vishada ya Saudia ni msiba wa kudumu kwa wananchi wa Yemen
Apr 05, 2021 22:18Muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umechafua ardhi kubwa ya Yemen kwa mabomu mengi ya kutega ardhini na mabomu ya vishada katika kipindi cha miaka 6 iliyopita.
-
Hamas: Kutiwa nguvuni Wapalestina huko Saudia kunawanufaisha Wazayuni
Apr 05, 2021 22:17Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametilia mkazo udharura wa kuachiwa huru makumi ya Wapalestina wanaoshikiliwa mahabusu nchini Saudi Arabia na kusema kuwa, kufungwa kwa Wapalestina hao huko Saudia kunawanufaisha Wazayuni wa Israel.
-
Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi wa zamani kupandishwa kizimbani nchini Kuwait
Apr 05, 2021 22:17Kamati ya maalumu ya uchunguzi ya Mahakama ya Mawaziri ya serikali ya Kuwait imetoa amri ya kupandishwa kizimbani Jabir al Mubarak, Waziri Mkuu wa zamani na Khalid al Jarrah, waziri wa zamani wa ulinzi pamoja na viongozi wengine wanne wa nchi hiyo, kwa tuhuma za ufisadi na wizi wa fedha.
-
Yafichuka: Mossad imehusika katika jaibio la mapinduzi nchini Jordan
Apr 05, 2021 08:25Tovuti ya Axios ya Marekani imefichua kuwa, shirika la ujasusi la Israel, MOSSAD, limehusika katika jaribio la mapinduzi lililofanyika nchini Jordan.
-
Sisitizo la Marekani la kuiunga mkono Saudi Arabia; utendaji wa kindumakuwili wa serikali ya Biden
Apr 05, 2021 04:58John Kirby, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) alitangaza Jumamosi ya juzi katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, Washington itaendelea kuiunga mkono na kuihami Saudi Arabia.
-
Waziri wa vita wa Israel: Litakuwa ni balaa kama Netanyahu ataunda serikali
Apr 05, 2021 02:51Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema litakuwa ni balaa kama Benjamin Netanyahu ataunda baraza la mawaziri la utawala huo ghasibu.