-
Maafisa 103 wastaafu wa jeshi la Uturuki wamwandikia barua kali Erdogan, 10 wakamatwa
Apr 05, 2021 02:21Maafisa 103 wastaafu wa jeshi la Utruruki wametoa taarifa maalum kupitia barua ya wazi ambayo imekosoa vikali sera za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.
-
Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni jinai
Apr 05, 2021 00:00Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa, ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni jinai dhidi ya taifa la Palestina.
-
"Kuiondoa Ansarullah katika orodha ya ugaidi ni hadaa ya Marekani"
Apr 04, 2021 06:30Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema hatua ya Marekani ya kutangaza eti imeliondoa jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi ni hadaa tupu na mchezo mchafu wa kisiasa.
-
Jaribio la mapinduzi Jordan, makumi ya viongozi watiwa mbaroni + Video
Apr 03, 2021 22:38Duru za habari usiku wa kuamkia leo zimetangaza habari ya kutiwa mbaroni makumi ya viongozi wa ngazi za juu wa Jordan kwa tuhuma za kujaribu kufanya mapinduzi dhidi ya mfalme Abdallah II.
-
Palestina: Utawala haramu wa Israel unatekeleza mipango yake ya kikoloni
Apr 03, 2021 22:02Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelaani vikali hatua za jeshi la utawala haramu wa Israel za kuendelea kubomoa nyumba na makazi ya Wapalestina.
-
Kwa nini baadhi ya Wairaqi wamepinga safari ya al Kadhimi nchini Saudi Arabia
Apr 03, 2021 22:02Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al Kadhimi nchini Saudi Arabia imekabiliwa na upinzani wa baadhi ya shakhsia na wanasiasa ndani ya Iraq.
-
"Muungano wa Saudia unatafuta njia ya kujiondoa kwenye kinamasi cha Yemen"
Apr 03, 2021 05:16Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen amesema muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unatapatapa na hivi sasa umeanza kutafuta njia ya kujiondoa kwenye kinamasi cha vita dhidi ya Wayemen.
-
Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani
Apr 03, 2021 05:13Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema faili la mauaji ya kigaidi ya Shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) linafuatiliwa na kamati ya pamoja ya Iran na Iraq.
-
Wanafikra Wazayuni: Israel ni dhaifu na tete katika kukabiliana na vita vya pande zote
Apr 02, 2021 23:04Kituo cha tafiti za usalama wa ndani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kimesema, hatari kuu inayokabili uwepo wa utawala huo ni vita vya pande zote kutokea kaskazini, mashariki na kusini.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia aunga mkono kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Apr 02, 2021 09:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amedai kuwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuna faida nyingi za kiuchumi, kijamii na kiusalama kwa eneo la Asia Magharibi.