-
Vita vya Yemen kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
Apr 02, 2021 06:07Katika sehemu ya hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya Sheikh al-Qadhi Ahmad az-Zain hapo siku ya Jumatano, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon aliashiria kadhia ya vita vya Yemen.
-
Ripoti ya kwanza ya "Hiroshima ya Yemen" yasambazwa na Ansarullah
Apr 02, 2021 02:05Idara ya masuala ya haki na sheria ya Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen, imesambaza ripoti ya kwanza ya kisheria na ya matukio ya kweli kuhusu jinai za kutisha na za kinyama za Saudi Arabia na Marekani dhidi ya wananchi wa Yemen. Ripoti hiyo imepewa jina la Hiroshima ya Yemen.
-
Iraq na Syria zaendelea na mazungumzo kuhusu kurudi nyumbani wakimbizi
Apr 02, 2021 02:04Nchi mbili za Iraq na Syria zinaendelea na mazungumzo baina yao kuhusu namna ya kuwarejesha makwao wakimbizi wa nchi hizo mbili waliokimbilia katika nchi hizo.
-
Ansarullah Yemen: Madai ya Marekani kuhusu kuisaidia Yemen ni masikhara
Apr 01, 2021 22:23Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameyataja madai ya Marekani na waitifaki wake kuhusu kuisaidia Yemen kuwa ni istihzai na masikhara na kueleza kuwa, kama ingeweza Marekani ingewanyima hata hewa wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Yemen yashambulia vituo 'hasasi' vya kijeshi vya Saudia jijini Riyadh
Apr 01, 2021 06:40Msemaji wa vikosi vya jeshi la Yemen ametangaza habari ya kushambuliwa vituo nyeti na hasasi vya Saudi Arabia katika mji mkuu Riyadh.
-
“Siku ya Ardhi”; sisitizo la azma ya taifa la Palestina ya kuzikomboa kikamilifu ardhi za Palestina
Apr 01, 2021 06:12Haki za taifa madhulumu la Palestina zimeendelea kukakanyagwa kwa zaidi ya miongo 70 sasa kupitia uvamizi, jinai mtawalia za utawala ghasibu wa Israel na kimya za asasi na jumuiya za kimataifa.
-
Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel
Apr 01, 2021 06:05Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuungana na kushikamana Waislamu pasina kujali tofauti zao za kimitazamo na kiitikadi kumesambaratisha njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kuyagawanya vipande vipande mataifa ya Kiislamu.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani imo katika awamu ya kwanza ya kuporomoka
Apr 01, 2021 02:05Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani si ile ya miaka iliyopita na kwa sasa imo katika awamu ya kwanza ya kusambaratika, na kwamba Israel, sawa kabisa na bwana wake, inaelekea kusambaratika na kutoweka.
-
Kupungua akiba ya fedha za kigeni ya Saudi Arabia
Mar 31, 2021 21:49Imepita miaka 6 sasa tangu Mfalme Salman bin Abdulaziz Aal Saud aliposhika madaraka nchini Saudi Arabia na mbali na kufeli kukubwa katika siasa za nje, akiba ya fedha za kigeni ya nchi hiyo pia imepungua sana na kufikia kiwango cha chini zaidi katika mwongo mmoja uliopita.
-
Ukosoaji kufuatia kuongezeka hatua za Imarati za kujipenyeza kiintelijinsia na kisiasa huko Iraq
Mar 31, 2021 06:12Katika masiku ya karibuni suala la kujipenyeza Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) huko Iraq kwa mara nyingine tena limezungumziwa pakubwa. Shakhsia na vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Imarati imezidisha satwa yake ya kiintelijinsia na kisiasa nchini humo.