-
HAMAS yalaani uamuzi wa Bahrain wa kuteua balozi na ofisi ya uwakilishi Tel Aviv
Mar 31, 2021 02:06Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani uamuzi wa Bahrain wa kuanzisha ofisi ya uwakilishi wa kidiplomasia na kuteua balozi wake katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria
Mar 30, 2021 22:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Kuwait azuiwa kusafiri nje ya nchi kwa tuhuma za ufisadi
Mar 30, 2021 03:32Mahakama ya Mawaziri inchini Kuwait imempiga marufuku kusafiri nje ya nchi Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo. Jaber al Mubarak al Hamad all Sabah anakabiliwa na kesi ya ufisadi wa mamia ya mamilioni ya dinari za mfuko wa hazina wa jeshi la nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal Khalifa wapuuza maambukizi ya corona katika jela wanamoshikiliwa wanamapinduzi wa Bahrain
Mar 29, 2021 22:02Harakati ya Al Wifaq ya Bahrain imesema ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha maambukizi ya corona kwa wafungwa wanamapinduzi na jinsi utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa unavyolipuuza suala hilo.
-
Wayemeni 80,000 wamefariki kwa kukosa matibabu nje ya nchi baada ya uwanja wa ndege wa Sana'a kufungwa
Mar 29, 2021 22:01Wizara ya usafiri na uchukuzi ya serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen imesema, watu 80,000 wamefairki dunia kwa sababu ya kufungwa kwa muda wa miaka sita uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sana'a.
-
Saudia yawekeza dola bilioni 1.5 kusafisha faili chafu la ukandamiza wa haki za binadamu
Mar 29, 2021 08:04Mashirika ya kutetea haki za binadamu yametangaza kuwa, serikali ya Saudi Arabia imewekeza dola bilioni 1.5 za Marekani kwa ajili ya kupata uenyeji wa mashindano ya kimataifa ya michezo na kutakasa sura yake chafu ya ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala
Mar 29, 2021 08:04Maafisa usalama wa Iraq wamezima jaribio la shambulizi la kigaidi lililolenga mjumuiko mkubwa wa wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) uliokuwa njiani kutoka Najaf ukielekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa Imam wa Zama na mwokozi aliyeahidiwa wa Akheri Zamani, Imam Mahdi (as).
-
Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel
Mar 29, 2021 00:11Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) imefahamika kwamba, kwa mara nyingine tena kambi ya mrengo wa kuliai meibuka na ushindi katika uchaguzi huo.
-
Serikali ya Jordan yaanzisha mpango wa kusaidia kupunguza mgogoro wa Syria
Mar 28, 2021 23:54Serikali ya Jordan imesema kuwa imeanza kutekeleza mpango wake mwaka huu wa 2021 kwa ajili ya kusaidia kupunguza mgogoro wa Syria wenye thamani ya dola bilioni 2.4.
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kufanyika uchaguzi kama ilivyopangwa
Mar 28, 2021 23:50Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa uchaguzi wa bunge nchini humo utafanyika kama ilivyopangwa yaani tarehe 10 mwezi Oktoba mwaka huu.