-
Mambo matano ya uhakika katika vita vya Yemen, sambamba na kuanza mwaka wa 7 wa uvamizi wa Saudia
Mar 28, 2021 09:05Ijumaa ya juzi tarehe 26 Machi, vita na mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya Yemen viliingia katika mwaka wake wa 7.
-
Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria
Mar 28, 2021 06:33Wanajeshi vamizi wa Marekani wamepora malori 38 ya ngano ya Syria iliyokuwa katika maghala huko Tal Alou katika mkoa wa Hasaka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Maghala makubwa ya silaha za magaidi yapatikana katika mikoa mitatu ya Iraq
Mar 28, 2021 03:26Maafisa usalama wa Iraq wamefanikiwa kugundua maghala ya silaha za magaidi wa Daesh (ISIS) katika mikoa mitatu ya kaskazini na mashariki nchi hiyo.
-
Asarullah: Inabidi vita visimamishwe kwanza kabla ya kuanza mazungumzo
Mar 28, 2021 03:15Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, inabidi muungano wa Saudi Arabia ukomeshe kwanza mashambulizi yake na kuizingira Yemen kabla ya kuanza mazungumzo yoyote yale.
-
Mvutano wa Jordan na Israel washadidi baada ya Netanyahu kukataa ombi la kupelekwa maji zaidi Jordan
Mar 27, 2021 21:46Baada ya kuibuka mvutano baina ya utawala haramu wa Israel na Jordan kufuatia hatua ya Tel Aviv ya kumzuia mrithi wa kiti cha ufalme wa Jordan kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa, duru za Israel zinaripoti kwamba, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amekataa ombi la Jordan la kupelekwa maji zaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kamanda Mkuu wa muungano vamizi wa Saudia aangamizwa Ma'rib Yemen
Mar 27, 2021 07:19Duru mbalimbali za Yemen zimetangaza habari ya kuangamizwa mmoja wa makamanda wakuu wa muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Ma'rib nchini Yemen.
-
Israel yaendeleza jinai, yawajeruhi na kuwateka nyara makumi ya Wapalestina
Mar 26, 2021 22:04Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameteka nyara na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina baada ya kuvamia nyumba zao na kubomoa vijiji vyao.
-
Kupimana nguvu makundi ya Lebanon na kuingia katika mivutano hatari ya kisiasa
Mar 26, 2021 12:09Duru ya 18 ya mazungumzo kati ya Saad al-Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon ambaye amepewa jukumu la kubuni serikali mpya, na Rais Michel Aoun, ambayo ilifanyika Jumatatu iliyopita, ilimazika bila natija yoyote ya maana na kwa mujibu wa vyombo vya habari, jambo hilo limeitumbukiza nchi hiyo katika mivutano ya kisiasa ambayo inaweza kuiandama kwa muda mrefu.
-
Wananchi wa Yemen waadhimisha miaka 6 ya kusimama kidete mbele ya uvamizi wa Saudia na washirika wake
Mar 26, 2021 07:52Wananchi wa Yemen leo Ijumaa wamejitokeza kwa wingi kuadhimisha miaka 6 ya kusimama kidete taifa lao mbele ya uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na washirika wake.
-
Al Houthi: Vita dhidi ya Yemen ni njama ya Marekani-Israel iliyotekelezwa na Saudia
Mar 26, 2021 03:12Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu ziliishambulia Yemen katika fremu ya kutekeleza njama za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).