-
Chama cha Waarabu kina turufu ya kuamua hatima ya uchaguzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 25, 2021 22:26Chama kidogo cha Orodha ya Muungano wa Waarabu (UAL) kimefanikiwa kushinda idadi muhimu ya viti katika uchaguzi wa Israel na kukipa turufu ya kuchagua waziri mkuu ajaye wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Wayemen 43,000 wameuawa tangu ulipoanza uvamizi wa muungano wa kijeshi wa Saudia
Mar 25, 2021 22:25Wizara ya Haki za Binadamu ya Yemen imetangaza kuwa raia 43,582 wameuliwa na majeshi ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia tangu muungano huo ulipoanzisha hujuma za kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Msemaji wa Ansarullah; vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za Marekani na Ulaya
Mar 25, 2021 03:30Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za kivita za Marekani na Ulaya.
-
Kwa mara ya kwanza katika ulimwengu wa Kiarabu; Bahrain imejizuia kulaani ukandamizaji wanaofanyiwa Wapalestina
Mar 24, 2021 22:03Mwakilishi wa serikali ya Bahrain katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amejizuia kulaani ukiukaji wa haki za binadamu na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
'Bin Salman apanga kuifanyia mabadiliko katiba ya Saudia ili Qur'ani na Suna zisiwe marejeo ya sheria'
Mar 24, 2021 08:40Mfichuaji maarufu wa taarifa za siri za utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ameripoti kuwa Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme huo amechukua uamuzi wa kuvifanyia mabadiliko vifungu viwili vya katiba ya nchi hiyo.
-
Muungano wa Saudia umesababisha hasara ya dola bilioni 3.5 kwa uwanja wa ndege wa Sana'a, Yemen
Mar 24, 2021 08:31Mashambulio ya moja kwa moja yaliyofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sana'a pamoja na kutoa amri ufungwe yameusababishia uwanja huo wa ndege ulioko kwenye mji mkuu wa Yemen hasara ya zaidi ya dola bilioni 3.5.
-
Saudia yamtishia kifo Ripota wa UN kwa kuchunguza mauaji ya Khashoggi
Mar 23, 2021 22:37Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amefichua kuwa, utawala wa Saudi Arabia umemtishia kumua kutokana na kufuatilia kwake mauaji ya mwandishi mkosoaji, Jamal Khashoggi.
-
Tathmini ya takwimu za miaka 6 ya vita vya muungano vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Mar 23, 2021 22:15Brigedia Jenerali, Yahya Sarii msemaji wa majeshi ya Yemen ametoa takwimu za vita wakati huu wa kukaribia kutimia miaka 6 tangu muungano vamzi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia uliapoanzisha hujuma ya kijeshi dhidi ya taifa la Yemen.
-
Yemen: Saudia isitishe vita na mzingiro kikamilifu badala ya ‘usitishaji vita wa muda’
Mar 23, 2021 06:51Mwanachama mwandamizi wa Baraza Kuu la Kisiasa Yemen ametupilia mbali kile ambacho Saudia imedai eti ni ‘pendekezo la amani’ na kusema kile ambacho taifa la Yemen linataka ni muungano wa kivita unaoongozwa na Saudia usitishe vita kilamilifu na uondoe mzingiro dhidi ya nchi hiyo.
-
Iran inaunga mkono mpango wowote wa amani Yemen
Mar 23, 2021 06:41Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa Iran inaunga mkono mpango wowote wa kuleta amani Yemen.