-
Uafriti wa Israel wa kutaka kuvuruga uchaguzi wa Palestina
Mar 22, 2021 22:14Mkuu wa shirika la usalama wa ndani la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shin Bet amemtaka Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aghairishe uchaguzi wa Palestina ikiwa harakati ya Hamas itashiriki katika uchaguzi huo.
-
HAMAS: Kuusafisha mji wa Quds na uwepo wa Israel ni jukumu tukufu la kila Mwislamu
Mar 22, 2021 22:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, kuusaifisha mji wa Quds na uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni jukumu tukufu la kila Mwislamu.
-
Eli Cohen: Nchi nne zimo mbioni kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Mar 22, 2021 22:10Waziri wa Ujasusi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amedai kuwa, kuna nchi nyingine nne ambazo muda si mrefu zitatia saini makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa huko Halab Syria katika mashambulizi ya magaidi wanaoungwa mkono na Uturuki
Mar 22, 2021 03:48Makumi ya watu wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora yaliyofanywa akatika baadhi ya maeneo ya mji wa Halab huko Syria na magaidi wenye silaha wanaongwa mkono na Uturuki.
-
Israel yampokonya Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina kibali maalumu cha kuvuka mpakani
Mar 22, 2021 03:35Utawala haramu wa Israel umempkonya Riyadh al-Maliki, Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kibali maalumu kinachotumiwa na viongozi mashuhuru wa Palestina kuvuka mpakani, alipokuwa akirejea katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya kufanya kikao na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC iliyo na makao makuu yake mjini The Hague Uholanzi.
-
Wayemeni waushambulia kwa makombora uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid huko Riyadh
Mar 22, 2021 03:23Jeshi la Yemen limejibu mzingiro na jinai zinazoongezeka kila uchao za utawala wa Aal Saud dhidi ya wananchi wa Yemen na kwa mara nyingine tena limeushambulia kwa makomora uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia.
-
UNICEF: Watoto 8 wameuawa katika mapigano Yemen
Mar 21, 2021 22:01Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto (UNICEF) limesema watoto 8 wameuawa katika mapigano nchini Yemen huku wengine 33 wakijeruhiwa katika mwezi huu wa MachI huku Saudi Arabia na washirika wake wakiendeleza mashambulio na mzingiro dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika Bara Arabu.
-
Wabunge 172 Iraq watia saini mpango wa kutaka bunge livunjwe
Mar 21, 2021 22:00Mirengo kadhaa ya Bunge la Iraq imewasilisha mpango wa kutaka bunge hilo livunjwe ili kufanyike uchaguzi wa mapema.
-
Imarati yakosoa hatua ya Netanyahu kutumia vibaya safari ya Abu Dhabi kwa malengo ya uchaguzi
Mar 21, 2021 22:00Kiongozi mmoja wa ngazi ya juu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) amekosoa hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Israel, ya kutumia vibaya mapatano na nchi za Kiarabu kwa ajili ya manufaa yake binafsi na kuongeza kuwa utawala wa Abu Dhabi ulitia saini mapatano hayo kwa lengo la kufikiwa amani na sio masuala ya uchaguzi.
-
Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia aitwa mahakamani kujibu mashtaka ya mauaji ya Khashoggi
Mar 21, 2021 09:00Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameitwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili kuhusiana na mauaji ya mwandishi mkosoaji, Jamal Khashoggi.