-
Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq
Mar 21, 2021 04:35Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Badr katika mkoa wa al-Anbar nchini Iraq amesema Marekani inapanga njama ya kuwarejesha magaidi katika mikoa ya magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Badran: Israel inaogopa ushindi wa Hamas katika uchaguzi ujao
Mar 21, 2021 04:12Mwanachama mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na kiwewe na wahaka mkubwa ukifahamu vyema kuwa harakati hiyo ya muqawama itaibuka mshindi katika uchaguzi ujao wa Palestina hususan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ndege za kivita za Saudia zashambulia kwa mabomu mji mkuu wa Yemen
Mar 21, 2021 04:09Ndege za kivita za muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeshambuliwa kwa mabomu mji mkuu wa Yemen, Sana'a alfajiri ya leo.
-
Yemen: Ni haki yetu kupiga kwa makombora eneo lolote lile la Saudia na Imarati
Mar 20, 2021 23:51Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesisitiza kuwa majeshi ya nchi hiyo yataendelea kujihami na kulipiza mashambulizi ya Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kwamba ni haki ya wanamuqawama wa Yemen kushambulia eneo lolote lile la nchi vamizi.
-
Mtazamo wa Katibu Mkuu wa Hizbullah kuhusu hali ya sasa ya baraza la mawaziri la Lebanon
Mar 20, 2021 07:40Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah jana usiku alihutubia Walebanon kwa mnasaba wa Siku ya Majeruhi wa Vita; hotuba ambayo sehemu yake kubwa ilijikita katika suala la baraza la mawaziri la serikali ya Lebanon.
-
Uturuki: Israel ni mkiukaji wa sheria za kimataifa
Mar 20, 2021 06:09Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora ardhi na kubomoa nyumba za Wapalestina unakanyaga wazi sheria za kimataifa.
-
Israel kutekeleza njama mpya ili kuwaacha bila makazi Wapalestina 1550 wa Baitul Muqaddas
Mar 20, 2021 00:11Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeandaa mpango wa kubomoa nyuma zaidi ya 100 za Wapalestina katika mji unaoukalia kwa mabavu wa Baitul Muqaddas na kuwaacha Wapalestina wapatao 1550 bila mahali pa kuishi.
-
Ansarullah: Hii ndiyo sababu iliyotufanya tuache kuishambulia kijeshi Imarati
Mar 19, 2021 04:34Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Asarullah ya Yemen amefichua kuwa, barua ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Abdul Malik al Houthi kwa Umoja wa Falme za Kiarabu iliyoipelekea Abu Dhabi ikomeshe mashambulio yake nchini Yemen, ndiyo sababu iliyoifanya Ansarullah isimamishe mashambulizi yake ya kulipiza kisasi dhidi ya Imarati.
-
Makumi ya mamluki wa muungano vamizi wa Saudia waangamizwa na kujeruhiwa katika mapigano Taiz, Yemen
Mar 18, 2021 23:17Makumi ya mamluki wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano baina yao na jeshi na makundi ya kujitolea ya wananchi wa Yemen katika mkoa wa Taiz nchini humo.
-
‘Israel inashirikiana na magaidi katika hujuma zake dhidi ya Syria’
Mar 18, 2021 23:15Serikali ya Syria imesema utawala wa Kizayuni wa Israel unashirikiana na magaidi katika hujuma zake dhidi ya Syria.