-
Makundi ya Palestina yasisitiza kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi
Mar 18, 2021 23:14Makundi ya Palestina yametoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Cairo mji mkuu wa Misri yakikisisitizia kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi.
-
Uingiliaji wa aina tofauti wa Marekani katika masuala ya ndani ya Yemen
Mar 18, 2021 10:43Jumanne ya tarehe 16 Machi, Idara ya Kiitikadi ya Vikosi vya Ulinzi vya Yemen ilitoa nyaraka mpya zinazobainisha juu ya uwepo wa kijeshi wa Marekani na vituo vya kijeshi vya Washington huko nchini Yemen na pamoja na uhusiano wa serikali ya wakati huo ya Ali Abdullah Saleh na mashirika ya kijsasu ya Marekani.
-
Rais wa Iraq asisitiza kuhusu askari wa Marekani kuondoka nchini humo
Mar 18, 2021 09:47Rais Barham Salih wa Iraq ametangaza kuwa, uamuzi umeshachukuliwa kuhusu kuhitimisha kuwepo kwa vikosi vya jeshi vamizi la Marekani nchini humo.
-
Wanamuqawama watungua 'drone' ya kijasusi ya Israel huko Gaza
Mar 18, 2021 05:10Wanamuqawama wa Palestina wamefanikiwa kutungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni wa Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Yemen lakomboa eneo muhimu magharibi mwa Ma'rib
Mar 18, 2021 03:28Duru za kijeshi za Yemen zimetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na kamati za kujitolea za wananchi limekomboa aneo muhimu la al Atif, magharibi mwa mkoa wa Ma'rib.
-
Lebanon yalaani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Hizbullah
Mar 17, 2021 23:18Balozi wa Lebanon katika Umoja wa Mataifa amelaani madai yaliyotolewa hivi karibuni na viongozi wa Kizayuni dhidi ya Hizbullah akisisitiza kuwa hayana msingi na yanaingilia masuala ya ndani ya nchi yake.
-
Umoja wa Mataifa: Yemen inakabiliwa na maafa makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni
Mar 17, 2021 08:46Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen amesema kuwa, nchi ya Yemen inakabiliiwa na maafa makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni.
-
Russia na Hizbullaha ya Lebanon zafikia makubaliano ya kuimarisha ushirikiano
Mar 17, 2021 08:46Afisa wa Mahusiano ya Kigeni wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, harakati hiyo imefikia makubaliano na Russia ya kuimarisha ushirikiano baina yao kuhusiana na masuala yote yanayohuusu maslahi ya pamoja.
-
Jeshi la Syria lazima tena shambulio la makombora la Israel
Mar 17, 2021 04:00Kwa mara nyingine tena, Jeshi la anga la Syria limekabiliana na shambulizi la makombora la utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Rif Dimashq, viungani mwa mji mkuu Damascus usiku wa kuamkia leo.
-
Israel yakiri; Hizbullah inaweza kuvurumisha makombora 2,000 kwa siku dhidi yake
Mar 17, 2021 01:06Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo wa kuvurumisha makombora elfu mbili kwa siku dhidi ya utawala huo haramu iwapo makabiliano ya kijeshi yataibuka baina ya pande hizo katika siku za usoni.