-
Saudi Arabia; mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha ulimwenguni
Mar 16, 2021 22:56Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stokholm (SIPRI) imetangaza kuwa, kuanzia mwaka 2016 hadi 2020 Saudi Arabia iliongeza kwa asilimia 61 ununuzi wa silaha ikilinganishwa na kipindi cha kati ya 2011 na 2015.
-
Waziri Mkuu wa Iraq atoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mashambulizi ya Halabcha
Mar 16, 2021 08:57Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa kuadhimisha kumbukumbu ya mashambulizi ya kemikali yaliyotekelezwa katika mji wa Halabcha katika eneo la Kurdistan huko Iraq kunakumbushia kuuliwa maelfu ya raia na watu wasio na hatia wa eneo hilo.
-
Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen
Mar 16, 2021 04:46Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Serikali ya Marekani kwa matamshi yake ya upotoshaji na yasiyo ya kimantiki imeonyesha kuwa haitaki kuona amani ikirejea Yemen."
-
Yemen: Marekani inapaswa kuchukua hatua kivitendo ili kuhitimisha vita
Mar 15, 2021 23:27Mjumbe mwandamizi wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema, Marekani inapaswa kuchukua hatua kivitendo ili kuhitimisha vita dhidi ya nchi hiyo.
-
HAMAS: Kufunguliwa ubalozi wa Kosovo huko Quds ni natija ya mataifa ya Kiarabu kuanzisha uhusiano na Israel
Mar 15, 2021 23:26Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani hatua ya nchi ya Kosovo ya kufungua ubalozi wake huko Quds inayokaliwa kwa mabavu na kusisitiza kuwa, hayo ni matokeo ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Saudi Arabia, mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha duniani; Marekani muuzaji mkubwa
Mar 15, 2021 08:36Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stokholm, SIPRI, zaidi ya thuluthi moja ya silaha zilizonunuliwa duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita zilinunuliwa kutoka Marekani na nusu ya silaha hizo zilitumwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi
Mar 15, 2021 07:56Umetimia muongo mmoja tokea vianze vita baina ya serikali ya Syria na makundi ya kigaidi. Swali muhimu ambalo linaibuka hapa ni hili, je ni kwa nini vita hivi vilianza na vimekuwa na matokeo gani baada ya kupita miaka 10.
-
Waislamu wahamakishwa na hatua ya Kosovo kufungua ubalozi Quds
Mar 15, 2021 07:20Waislamu wameghadhabishwa mno na kitendo cha Kosovo kufungua ubalozi wa nchi hiyo ndogo ya Ulaya katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Duru ya pili ya mazungumzo ya kitaifa ya Wapalestina imeanza Cairo, Misri
Mar 15, 2021 04:43Makundi ya Palestina leo Jumatatu yameanza duru yao ya pili ya mazungumzo huko Cairo mji mkuu wa Misri kuhusu suala la uchaguzi.
-
Makumi ya wanajeshi wa Saudia waangamizwa katika eneo la Najran nchini humo
Mar 15, 2021 04:33Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen vimewaangamiza makumi ya wanajeshi wa Saudi Arabia katika eneo la Najran nchini Saudi Arabia.