-
Makumi ya wanajeshi wa Saudia waangamizwa katika eneo la Najran nchini humo
Mar 15, 2021 04:33Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen vimewaangamiza makumi ya wanajeshi wa Saudi Arabia katika eneo la Najran nchini Saudi Arabia.
-
Netanyahu afuta safari yake Imarati kwa kuihofu harakati ya Ansarullah
Mar 14, 2021 23:36Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa amefuta safari yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kuhofu mashambulizi ya makombora ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Hujuma ya kigaidi yaua watu 8 katika hujuma Herat, Afghanistan
Mar 14, 2021 07:51Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine 47 kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi mkoani Herat magharibi mwa Afghanistan.
-
Muongo mmoja baada ya uvamizi; matokeo mabaya ya Saudi Arabia kutuma askari nchini Bahrain
Mar 14, 2021 05:52Umetimia muongo mmoja sasa tangu Saudi Arabia ilipotuma majeshi yake huko nchini Bahrain.
-
Palestina na Arab League zalaani hatua ya Jamhuri ya Czech ya kufungua ubalozi wake Baytul-Muqaddas
Mar 14, 2021 04:44Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) na Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina zimelaani hatua ya Jamhuri ya Czech ya kufungua ubalozi katika mji wa Baytul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na utawala hharamu wa Israel
-
Syria yakanusha madai ya kufanya mazungumzo ya siri na Israel
Mar 14, 2021 04:24Syria imekanusha vikali ripoti zinazodai kuwa maafisa wa ngazi za juu wa nchi hiyo ya Kiarabu wanafanya mazungumzo ya siri na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Gaidi hatari zaidi atiwa mbaroni kaskazini mwa Iraq
Mar 13, 2021 23:08Duru za intelijensia za Iraq zimetangaza habari wa kutiwa mbaroni gaidi hatari mno katika mkoa wa Nainawa (Nineve) wa kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kuacha kushambuliwa na kuzingirwa Yemen, sharti la Ansarullah la kutoipiga kwa makombora Saudia
Mar 13, 2021 23:07Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vitaacha kuipiga kwa makombora Saudi Arabia iwapo tu wavamizi wa nchi yao wataacha kuizingira na kuishambulia Yemen.
-
Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia
Mar 13, 2021 23:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa ujumbe unaoiwakilisha serikali ya nchi hiyo utashiriki katika kikao cha amani kuhusu Afghanistan kilichopangwa kufanyika huko Moscow mji mkuu wa Russia.
-
Israel kubomoa nyumba zote za Wapalestina zilizoko jirani na Msikiti wa al-Aqswa
Mar 13, 2021 09:34Utawala haramu wa Israel umeazimia kubomoa nyumba zote za Wapalestina za kitongoji cha al-Bustan kilichoko jirani na Msikiti wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.