-
Abdul-Salaam al-Wajih: Watawala wa Saudia, Imarati na Bahrain ni mamluki wa mipango ya kikoloni ya Marekani na Israel
Jan 25, 2021 20:09Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Yemen amesema kuwa, watawala wa Saudi Arabia, Imarati na Bahrain ni watekelezaji wa mipango ya kikoloni ya Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Sababu za kuongezeka mashambulio ya kigaidi ya ISIS nchini Iraq
Jan 25, 2021 20:08Jana Jumatatu, Januari 25, 2021, Brigedia Jenerali Yahya Rasoul, msemaji wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iraq alizungumzia ushahidi mpya uliopatikana kuhusu mashambulio ya hivi karibuni ya mjini Baghdad na kusema kuwa, hadi hivi sasa vikosi vya usalama vya Iraq vimefanikiwa kuzima majaribio kadhaa makubwa ya kujiripua kwa mabomu katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
HAMAS: Achaneni na ndoto za kujenga imani na matumaini kwa serikali mpya ya Marekani
Jan 25, 2021 09:09Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa mtazamo wa baadhi ya viongozi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuwa na imani na matumaini na serikali mpya Marekani.
-
Saudia yashambulia mara 13 ndani ya siku moja mikoa ya Sa'dah na Ma'rib nchini Yemen
Jan 25, 2021 09:00Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia mara 13 katika muda wa saa 24 zilizopita maeneo tofauti ya mikoa ya Sa'dah na Ma'rib, ikiwa ni katika mwendelezo wa hujuma zake dhidi ya maeneo ya makazi ya raia nchini Yemen.
-
Marekani, Saudia na Israel zinachochea hujuma za kigaidi Iraq
Jan 25, 2021 04:20Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imesema hujuma za kigaidi ambazo zimetekelezwa na kundi la kigaidi la ISIS nchini humo zinachochewa na muungano wa Marekani, Saudi Arabia na Israel.
-
Wapalestina: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa ukombozi wa Palestina
Jan 24, 2021 23:01Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa ukombozi wa Palestina na muqawama wa taifa hilo mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Hatua kali za kiusalama zachukuliwa katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad
Jan 24, 2021 23:01Duru moja ya Iraq imetangaza habari ya kuchukuliwa hatua kali za kiusalama katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad hasa baada ya magaidi wa Daesh kufanya mashambulio ya kigaidi yaliyoua na kujeruhi makumi ya watu katikati ya mji huo Alkhamisi iliyopita.
-
Shambulio la DAESH dhidi ya Al-Hashdu-Sha'abi lilifanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani
Jan 24, 2021 10:22Chombo kimoja cha habari nchini Iraq kimetangaza kuwa, shambulio la magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) dhidi ya wapiganaji wa Al-Hashdu-Sha'abi katika mkoa wa Salahuddin limefanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani.
-
Matamshi yenye mgongano ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia kuhusu vita vya Yemen
Jan 24, 2021 06:24Katika matamshi yanayoonyesha mgongano wa wazi, Faisal bin Farhan bin Abdullah, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amedai kwamba utawala wa Riyadh unataka kusimamisha vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen na wakati huo huo kukaribisha hatua ya utawala ulioondoka madarakani wa Marekani ya kuituhumu Ansarullah kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Palestina yaishtaki rasmi Imarati Umoja wa Mataifa
Jan 24, 2021 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina Riyadh al Maliki amewasilisha rasmi mashtaka dhidi ya Imarati kwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet.