-
Harakati ya An-Nujabaa Iraq yatoa indhari: Magaidi wanapanga kushambulia Najaf na Karbala
Jan 24, 2021 01:10Msemaji wa Harakati ya An-Nujabaa ya Iraq ametahadharisha kuhusu mpango wa magaidi wa kutaka kushambulia maeneo matakatifu ya kidini ya nchi hiyo na kusisitiza kwamba makundi ya Muqawama yatavihamishia vita kwenye ardhi za wanaotaka kuiteketeza Iraq.
-
Abdullah: Taliban inakazania kuendeleza vita Afghanistan
Jan 24, 2021 01:09Mkuu wa Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, hatua ya Taliban ya kupanua wigo wa machafuko na vitendo vya utumiaji nguvu inaonyesha kuwa kundi hilo linakazania na kushupalia kuendeleza vita nchini humo.
-
Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Jan 23, 2021 09:01Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kupinga uwezekano wowote wa kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baraza la Usalama lataka kufikishwa mahakamani wahusika wa miripuko ya Iraq
Jan 23, 2021 04:24Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa tamko kali la kulaani mashambulio ya kigaidi ya juzi Alkhamisi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad na limetaka wahusika wote mashambulizi hayo ya umwagaji wa damu wafuatiliwe kisheria na wapandishwe kizimbani.
-
Yemen: Hakuna matumaini ya mabadiliko ya kimsingi katika siasa za Marekani
Jan 23, 2021 04:22Mshauri wa Waziri Mkuu wa Yemen amesema kuwa, rais mpya wa Marekani, Joe Biden si mwokozi wa eneo hili tofauti kabisa na propaganda zinazopigwa. Amesema, hakuna matumaini ya kuweko mabadiliko ya kimsingi katika siasa za Marekani na kamwe Biden hatofanya kinyume na marais waliomtangulia wa nchi hiyo.
-
Januari 21; siku ya umwagaji mkubwa wa damu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad
Jan 22, 2021 23:47Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea siku ya Alkhamisi tarehe 21 Januari katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad imeua watu 32 na kujeruhi wengine 110.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Magaidi wa Daesh (ISIS) wasubiri majibu makali ya jinai zao
Jan 22, 2021 08:21Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, magaidi wa Daesh (ISIS) wasubiri majibu makali kutoka kwa wananchi na vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo na kusisitiza kwamba serikali yake itahakikisha mashambulizi mengine ya kigaidi hayatokei nchini humo.
-
Syria yasisitiza ulazima wa kuweko umoja kwa ajili ya kukabilianan na ugaidi
Jan 22, 2021 04:48Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Iraq Baghdad na kusisitiza ulazima wa kuweko umoja na mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Miripuko Iraq, muungano wa "Daulat al Qanun" wataka kuangaliwa upya mikakati ya ulinzi Iraq
Jan 22, 2021 00:25Muungano wa "Daulat al Qanun" umelaani vikali miripuko ya kigaidi iliyotokea jana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad na kutaka kuangaliwa upya mipango na mikakati ya kulinda usalama wa maeneo yote ya nchi hiyo.
-
Iran yalaani milipuko ya kigaidi Baghdad, watu zaidi ya 28 wamepoteza maisha
Jan 21, 2021 08:27Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Baghdad Iraq umelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotekelezwa katika mji mkuu wa nchi hiyo na kuua shahidi na kujeruhiwa raia kadhaa wa nchi hiyo wasio na hatia.