-
Hamas: Trump alikuwa mshirika wa hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Palestina
Jan 21, 2021 08:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa Donald Trump alikuwa mshirika wa moja kwa moja wa utawala wa Kizayuni katika kuwakandamiza wananchi wa Palestina.
-
Maduro; Venezuela imemshinda Trump
Jan 21, 2021 08:09Rais wa Venezuela amekutaja kuondoka huko White House Rais wa zamani wa Marekani kuwa ushindi kwa nchi yake.
-
Kwa siku moja tu, mateka 41 Wapalestina wameambukizwa corona katika jela za Israel
Jan 21, 2021 03:57Maafisa wa Palestina wamesema, mateka 41 wameambukizwa virusi vya corona ndani ya muda wa siku moja katika jela za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wanakoshikiliwa.
-
Indhari ya makundi ya muqawama ya Palestina kwa utawala wa Kizayuni
Jan 20, 2021 08:35Makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza yamesema kuwa umoja ni njia pekee ya kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni dhidi ya kadhia ya Palestina.
-
Radiamali na sababu za pendekezo la kuakhirishwa uchaguzi wa bunge nchini Iraq
Jan 20, 2021 05:50Tume ya Uchaguzi nchini Iraq imetaka kuakhirishwa kwa miezi minne uchaguzi wa bunge wa nchi hiyo na badala ya kufanyika mwezi Juni, uitishwe mwezi Oktoba mwaka huu wa 2021.
-
Spika wa Bunge la Kuwait: Nchi yetu inapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Jan 20, 2021 04:21Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, msimamo wa nchi yake kuhusiana na Palestina uko thabiti na si wenye kubadilika na kwamba, nchi hiyo inapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia watekeleza njama mpya kusini mwa Yemen
Jan 19, 2021 23:15Kitengo cha Upashaji Habarii katika mikoa ya kusini mwa Yemen kimeripoti kuwa muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia unatekeleza njama mpya ili kuasisi vituo vya magaidi wa kitakfiri na ujasusi wa kisasa katika maeneo ya mikoa hiyo.
-
Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia
Jan 19, 2021 23:09Sambamba na kumalizika kipindi cha uongozi wa Donald Trump nchini Marekani, kumedhihirika bayana ishara za mabadiliko katika siasa na sera za kieneo za Saudi Arabia.
-
Israel yaishurutisha Uturuki iifunge ofisi ya HAMAS ili kurejesha uhusiano kamili
Jan 19, 2021 07:56Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetoa sharti kwa Uturuki la kuifunga ofisi ya HAMAS mjini Istanbul ili kuanzisha tena uhusiano kamili na nchi hiyo.
-
Chanjo ya COVID-19 yaanza kutolewa kwa wakimbizi nchini Jordan
Jan 19, 2021 07:53Wakimbizi nchini Jordan wameanza kupigwa chanjo ya COVID-19 ikiwa ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa afya ambao unajumuisha raia wote, wakimbizi na wakazi.