-
Qatar yazitaka nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Iran
Jan 19, 2021 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Uinzi wa Lebanon autaka utawala wa Kizayuni ukomeshe uchokozi dhidi ya nchi hiyo
Jan 19, 2021 04:32Waziri wa Ulinzi wa Lebanon ameutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukomeshe kila aina ya uchokozi na uvamizi unaofanya dhidi ya mipaka ya anga, bahari na nchi kavu ya nchi hiyo.
-
Jumbe za kimataifa za kupinga tuhuma za ugaidi za Marekani dhidi ya Ansarullah ya Yemen
Jan 18, 2021 23:05Hivi karibuni Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alitangaza kuwa serikali ya Rais Donald Trump imeijulisha rasmi Congress ya nchi hiyo kuwa imeliweka kundi la mapambano ya Kiislamu la Ansarullah la nchini Yemen katika orodha ya makundi yanayotuhumiwa kuunga mkono ugaidi, uamuzi ambao umekabiliwa na upinzani mkali wa kimataifa.
-
Mbali na mafuta, Marekani sasa inaiba mazao ya mashamba ya Wasyria
Jan 18, 2021 08:26Sambamba na kuendelea wizi wa mafuta ya Syria unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani, askari hao vamizi sasa wameanza kupora mazao ya mashamba ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wapalestina wakaribisha tangazo la tarehe ya kufanyika uchaguzi mkuu
Jan 18, 2021 07:52Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kwamba uchaguzi mkuu wa bunge na rais wa mamlaka hiyo utafanyika katika hatua tatu tofauti. Amesema uchaguzi wa bunge utafanyika tarehe 22 Mei, wa rais Julai 31 na wa mabaraza ya miji tarehe 31 Agosti mwaka huu.
-
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia kusini mwa Ukanda wa Ghaza
Jan 18, 2021 04:49Utawala wa Kizayuni umeshambulia mikoa miwili ya Rafa na Khan- Yunis kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Mabadiliko katika stratijia ya kijeshi ya Marekani Asia Magharibi
Jan 18, 2021 01:19Marekani imetoa huduma kubwa kwa utawala haramu wa Israel katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi: Askari wa Marekani lazima waondoke Iraq
Jan 18, 2021 01:17Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq amesisitiza ulazima wa kutekelezwa mpango uliopitishwa na bunge wa kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.
-
Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli
Jan 17, 2021 09:51Wizara ya Viwanda ya Libanon imezishutumu Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuitapeli na kuwadanganya watumiaji wa bidhaa za madola hayo katika masoko ya kigeni.
-
Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi
Jan 17, 2021 04:25Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa nchi kulaani hatua ya Marekani ya kuliweka jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi na kuitaka ifutilea mbali uamuzi wake huo.