-
Madola vamizi yazidi kuiba mafuta ya wananchi maskini wa Yemen
Jan 16, 2021 22:50Duru za usalama za Yemen zimetangaza kuwa, madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia na Imarati yanaendelea kuiba mafuta ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Israel inayahofu makombora yenye shabaha kali ya Hizbullah ya Lebanon
Jan 16, 2021 10:11Mchambuzi wa masuala ya kijeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umeingiwa na hofu na kiwewe kwa sababu ya makombora yenye shabaha kali ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Fat'h na Hamas zaunga mkono kufanyika uchaguzi Palestina baada ya miaka 15
Jan 16, 2021 04:15Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina za Fat'h na Hamas zimeunga mkono tangazo la Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuhusu kufanyika uchaguzi wa bunge la rais baadaye mwaka huu.
-
Sheikh Isa Qassim aunga mkono wafungwa wa kisiasa Bahrain
Jan 16, 2021 04:03Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ametangaza kuwaunga mkono wafungwa wote wa kisiasa na watetezi wa haki za binadamu huku akisema kuwa wako katika nyoyo za Wabahrain na katu hawatasahauliwa.
-
Wabahrain waandamana kupinga kuteuliwa balozi wa Israel nchini humo
Jan 16, 2021 00:53Wananchi wa Bahrain jana Ijumaa walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani uteuzi wa balozi mdogo wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu, huo ukiwa ni muendelezo wa hatua za kuimarisha uhusiano baina ya Manama na Tel Aviv.
-
Israel yatishia kuishambulia Iran iwapo Biden atairejesha US katika JCPOA
Jan 15, 2021 10:34Mpambe wa karibu wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ametishia kuwa huenda Israel ikaishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo serikali ijayo ya Marekani itarejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Marekani yakataa ombi la Umoja wa Mataifa la kufutilia mbali vikwazo dhidi ya Ansarullah
Jan 15, 2021 03:44Marekani imekataa ombi lililotolewa na Umoja wa Mataifa la kufutilia mbali uamuzi wake wa kuliweka jina la Ansarullah ya Yemen katika orodha ya makundi yanayotuhumiwa na Washington kuwa ni ya kigaidi.
-
HAMAS: Tuko pamoja na Syria katika makabiliano yake na utawala haramu wa Israel
Jan 15, 2021 03:22Mmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, misimamo ya harakati hiyo katu haijabadilika na kwamba, inaendelea kuiunga mkono nchi ya Syria katika makabiliano yake na utawala haramu wa Israel.
-
Lebanon yaushtaki utawala wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la UN
Jan 14, 2021 09:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imewasilisha shtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo kutokana na hatua ya Israel kukiuka mara kwa mara anga ya Lebanon.
-
Aswarullah: Muungano vamizi wa Yemen upate funzo kutokana na hali iliyomkumba Trump
Jan 14, 2021 04:28Msemaji wa harakati ya wananchi ya Answarullah ya nchini Yemen amesema kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia unapaswa ujifunze kutokana na hali iliyo nayo hivi sasa serikali ya Donald Trump huko Marekani hasa kwa vile wavamizi hao wa Yemen waliitumainia sana serikali hiyo.