-
Israel yakataa kuwapatia chanjo ya corona mateka Wapalestina inaowashikilia katika jela zake
Jan 13, 2021 23:07Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unakataa kuwapatia chanjo ya corona mateka Wapalestina unaowashikilia kwenye magereza yake.
-
Shirika la Emirates lamfuta kazi rubani Mtunisia aliyekataa kurusha ndege kuelekea Israel
Jan 13, 2021 11:01Shirika la Ndege la Umoja wa Falme za Kiarabu, Emirates Airline, limemfuta kazi rubani wake mmoja raia wa Tunisia ambaye alikataa amri ya kurusha ndege kuelekea Israel.
-
Jihadul Islami: Shahidi Soleimani ameimarisha makundi ya Palestina
Jan 12, 2021 10:06Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina hapa Tehran amepongeza nafasi ya Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani na kusema: Shahidi Soleimani aliyaunganisha na kuyaimarisha makundi ya muqawama ya Palestina mbele ya utawala wa Kizayuni.
-
B'Tselem: Israel ni utawala wa kibaguzi
Jan 12, 2021 04:51Kituo cha Haki za Binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) cha B'Tselem kimesema Israel ni utawala wa kibaguzi na wala si wa kidemokrasia.
-
UN yaikosoa Marekani kwa kukwamisha mchakato wa kurejesha amani Yemen
Jan 12, 2021 04:22Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uamuzi wa Marekani wa kuiweka harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha ya makundi ya kigaidi na kusema kuwa ni pigo kwa mchakato wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Indhari ya Hamas kuhusu njama ya Wazayuni kuharibu sehemu za Msikiti wa Al Aqsa
Jan 12, 2021 01:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetahadharisha kuhusu mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kubomoa sehemu za Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Al-Houthi: Marekani ni chimbuko la ugaidi na sera za serkali ya Trump ni za kigaidi
Jan 11, 2021 08:39Muhammad Ali al-Houthi, mjumbe wa Baraza la Kisisa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, nchi ya Marekani ndio chimbuko la ugaidi na kwamba, serikali ya sasa ya Donald Trump imekuwa ikitekeleza siasa na sera za kigaidi.
-
Wazayuni waongeza kasi ujenzi wa vitongoji vya walowezi siku za mwisho za Trump madarakani
Jan 11, 2021 04:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, katika siku hizi za mwisho za kukata roho serikali ya Donald Trump huko Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel umeongeza maradufu kasi ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi ulizowapora Wapalestina.
-
Majeshi ya Yemen: Tutaendelea kupambana na wavamizi hadi ushindi wa mwisho
Jan 10, 2021 21:11Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesisitiza kuwa wapiganaji wa nchi hiyo wataendelea kupambana na wavamizi hadi ushindi wa mwisho utakapopatikana.
-
Nukta muhimu katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah
Jan 10, 2021 21:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah alihutubu Ijumaa usiku kwa njia ya moja kwa moja katika televisheni ambapo hotuba hiyo ilikuwa na nukta nne muhimu za kitaifa na kimataifa.