-
Malengo ya safari ya ghafla ya Saad Hariri nchini Uturuki
Jan 10, 2021 05:46Saad Hariri, waziri mkuu mteule wa Lebanon ambaye amepewa jukumu la kuunda serikali, siku ya Ijumaa alifanya safari ya ghafla na ambayo haikuwa imetangazwa kabla kuelekea nchini Uturuki ambako alikutana na kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdoğan.
-
Haniyeh aitaka jamii ya kimataifa kuwasaidia Wapalestina
Jan 10, 2021 05:07Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amewaomba baadhi ya viongozi wa nchi ikiwemo Iran kuunga mkono juhudi zilizofanyika kwa ajili ya kuimaisha umoja na mshikamano wa kitaifa wa Palestina.
-
Hizbullah: Kumwekea vikwazo Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ni mwendelezo wa jinai za Marekani
Jan 09, 2021 09:24Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Mkuu wa Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la Al-Hashdu-Sha'abi ni "jinai".
-
HAMAS: Baadhi ya mataifa ya Kiarabu ni marafiki wa utawala haramu wa Israel
Jan 09, 2021 03:53Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, baadhi ya mataifa ya Kiarabu ambayo yamekuwa yakifanya urafiki na Wazayuni yanapinga jihadi na harakati za muqawama dhidi ya utawala vamizi wa Israel.
-
Duru ya pili ya mazungumzo ya serikali ya Afghanistan na Taliban inaanza leo huko Doha Qatar
Jan 09, 2021 03:53Wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na wa kundi la wanamgambo wa Taliban wanakutakutana tena leo katika duru ya pili ya mazungumzo yao huko Doha nchini Qatar yenye lengo la kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini Afghanistan.
-
Nasrallah: Wamarekani wamefahamu hatari ya Trump, yeye ni mfano halisi wa uistikbari
Jan 08, 2021 23:26Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio ya hivi karibuni katika Bunge la Congress nchini Marekani yamepelekea Wamarekani wafahamu hatari ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump. Aidha amesema matukio hayo ni mfano halisi na wa wazi wa ubeberu na uistikbari wa Marekani.
-
Yemen: Uhasama wa Magharibi kwa Iran umetokana na Tehran kuwaunga mkono Wapalestina
Jan 08, 2021 23:11Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen amekosoa vikali njama za kutaka kuundwa eti muungano dhidi ya Iran ikiwa ni sehemu ya mradi wa pamoja wa Waarabu, Israel na Marekani na kusisitiza kuwa, jitihada za namna hiyo zikasudia kuzuia uungaji mkono usio na kifani wa Tehran na kwa kadhia ya Palestina na Wapalestina.
-
Makubaliano ya AI-Ula Saudi Arabia na engo zake tofauti
Jan 08, 2021 23:09Kikao cha Baraza na Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kilifanyika Jumanne iliyopita ya tarehe 5 Januari katika mji wa Al-Ula Saudi Arabia na kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Qatar uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Wairaq wafurahishwa na waranti wa kusakwa Trump ili akajibu mashtaka ya mauaji
Jan 08, 2021 03:34Katibu Mkuu wa "Kataib al Shuhada" ya Iraq ameipongeza idara ya mahakama ya nchi hiyo kwa kutoa waranti wa kutiwa mbaroni rais wa Marekani, Donald Trump ili akajibu mashtaka ya kuwaua kidhulma kamanda Qassem Soleimani na Abou Mahdi al Muhandis ndani ya ardhi ya Iraq.
-
Mgogoro jeshini Israel, wanajeshi elfu 10 wawekwa karantini
Jan 08, 2021 03:33Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza habari ya kuongezeka vibaya maambukizo ya kirusi cha corona ndani ya jeshi la utawala huo dhalimu na kusema kuwa maelfu ya wanajeshi wa Israel wamewekwa kwenye karantini hivi sasa.