-
Mahakama ya Iraq yaamuru Trump akamatwe kwa mauaji ya makamanda wa muqawama
Jan 07, 2021 23:14Mahakama ya Ar-Rasaafah nchini Iraq inayofuatilia kesi ya mauaji ya makamanda wa muqawama Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi al-Muhandis imetoa waranti wa kukamatwa rais wa Marekani Donald Trump.
-
Makombora yenye shabaha kali ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran ndilo tishio kubwa zaidi kwa Israel 2021
Jan 07, 2021 23:13Kituo cha tafiti za usalama wa ndani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kimetangaza kuwa tishio kubwa zaidi kwa utawala huo katika mwaka huu wa 2021 ni makombora yenye shabaha kali ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran.
-
Mshauri wa Rais wa Syria: Qassem Suleimani alikuwa kamanda wa nyoyo na mpamabanaji wa njia ya ukombozi
Jan 07, 2021 23:12Mshauri maalumu wa Rais Bashar al Assad wa Syria amesema, shahidi Qassem Suleimani alikuwa mpigania uadilifu kwa ajili ya wanadamu na mpambanaji wa njia ya ukombozi.
-
2020; ulikuwa mwaka mweusi kwa raia katika eneo la Asia Magharibi
Jan 07, 2021 23:10Mwaka 2020 umemalizika hivi majuzi, lakini tukitupia jicho kwa haraka haraka matukio yaliyogonga vichwa vya habari katika mwaka huo tunaona kuwa, wananchi wa eneo la Asia Magharibi walikuwa wahanga wakuu wa matukio yaliyoshuhudiwa katika eneo hili.
-
Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran
Jan 07, 2021 23:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mapatano ya nchi yake na Saudia Arabia pamoja na waitifaki wake hayatabadilisha uhusiano mzuri ulioko baina ya Qatar na nchi zingine ikiwemo Iran.
-
Israel iliharibu nyumba 729 za Wapalestina mwaka 2020
Jan 07, 2021 05:20Utawala haramu wa Israel uliharibu nyumba 729 za raia wa Palestina katika mwaka uliopita wa 2020 kwa kutumia kisingizio cha kujengwa bila ya vibali.
-
Sheikh Isa Qassim: Bahrain ni jela kubwa
Jan 07, 2021 03:13Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema kuwa dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya taifa la Bahrain umeifanya nchi hiyo kuwa sawa na jela kubwa.
-
Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina
Jan 06, 2021 23:06Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze wajibu wake wa kimataifa na kuhakikisha kuwa chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 zinawafikia wananchi wa Palestina.
-
Facebook yafunga ukurasa wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu kwa fatwa yake dhidi ya Israel
Jan 06, 2021 09:02Uongozi wa mtandao wa kijamii wa Facebook umeufunga ukurasa wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu kutokana na fatwa yake ya kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kumalizika mzingiro wa Qatar, suluhu inayoyumbayumba
Jan 06, 2021 08:52Makubaliano ya kukomeshwa mzingiro wa nchi kadhaa za Kiarabu dhidi ya Qatar yametiwa saini katika kikao cha al Ula nchini Saudi Arabia bila ya kuhudhuriwa na viongozi wa nchi za Imarati, Misri, Bahrain na Oman.